Kitanda na godoro vinauzwa milioni 1.3

KUlala kwenyewe nalala saa 6 kuamka saa 11 kitanda cha milioni cha nini sasa
 
Fumbati lina mbega halafu unataka kuuza milioni moja na laki tatu.

Hauko serious.
 
Nje ya mada, hivi mtu akiwa na urefu kuzidi hiyo futi 6 inakuaje? Sijawahi kuona kitanda cha 5×7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…