Kitanda na godoro vinauzwa Zanzibar

Ivi nyie watu nani anowaaminisha huu ujinga?

Utakuta huyu jamaa ana masters ila kadanganywa hivi na illiterate person ata la saba hajafika

Zenji majini wanauziana kama karanga.
 
Ivi nyie watu nani anowaaminisha huu ujinga?

Utakuta huyu jamaa ana masters ila kadanganywa hivi na illiterate person ata la saba hajafika
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwani mkuu hayo mambo unataka kusema hayapo???
 
Kwa sababu unawauzia ndugu zako Wazanzibari, watanunua tu bila shaka. Tena kwa bei hiyo hiyo uliyoweka.
 
Kila la kheri mnunuzi utakayeshinda tenda
 
Wakuu nimerudi tena dukani ila sasa wateja mmeachana na bidhaa mmeanza kujadili majini na mambo mengine.
Wakuu vitu bado vipo,karibuni
 
Siku hizi majini hakuna.
Kweli nawahakikishia hakuna yalishakimbilia mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…