INAUZWA kitanda na meza ya kioo vinauzwa bei sawa na bure.

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
529
Reaction score
483
kitanda na meza vinauzwa bado vipo kwenye hali nzuri.
Nauza vyote kwa pamoja bei sawa na bure tsh 160000 .

kwa atakae hitaji kitanda tu 120000
meza tu 60000.
vipo dar mbagala sabasaba .
0657 623266
0694185384
 
Hicho kitanda hata bure sichukui.....kuhusu meza fundi yuko ananitengenezea kama hii

 
MWENYE LAKI MOJA AJE LEO VYOTE NAMUUZIA KWA 100000 PIGA 0657623266 au 0694185384
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…