Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,618
Wewe hauna nafasi?Ngoja mwenye nafasi yake akuje mkuu
Hapana,Laki nne pamoja na godoro?
Makandila
Nawasubiria Ndugu,Ngoja mwenye nafasi yake akuje mkuu
Wapi hiyo mkuu??? Isije ikawa KibitiHivyo vitanda ni 250,000/ Na cha sita kwa sita 350,000,
Sasa wewe unauza au unataka kuonyesha chumba?
Asante Kwa kupitia tangazo,Hivyo vitanda ni 250,000/ Na cha sita kwa sita 350,000,
Sasa wewe unauza au unataka kuonyesha chumba?
Sawa,Hiyo bei ni ghali mno ila kwa wasiojua utawakamata
Kazi njema
Durability sir/ma'amMachuma ya nini wakati tuna mbao bwerere.
Naunga mkono swali,Wapi hiyo mkuu??? Isije ikawa Kibiti
Hakiwezi Kua cha hivi,Nimenunua cha hivo 5X6 Tshs 240k na godoro dodoma 180k
Sasa ww laki nne kitanda peke ake?
250k ni too low,Bei juu sana mkuu na ukumbuke kipindi hiki sio kirahisi hivyo. So kama 250000 njoo inbobo
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app