INAUZWA Kitanda Safi cha chuma: (hutojutia pesa yako)

INAUZWA Kitanda Safi cha chuma: (hutojutia pesa yako)

cd12cd25cbb3446ed785cec514a9d554.jpg

Nataka Kama hiki hiki tsh ngapi?
 
Mi siwezi kulala kwenye grilli

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka laki2 unakipata kipyaaa hakijawahi kutiwa najisi wewe unauza kilichotumika kwa 400000???
 
Hivi vitanda ni vizuri sana kwa Mechi za ligi kuu, Nawashauri vijana mnunue.

Enzi zetu palikuwa na vitanda kama hivi vinaitwa BANCO.
 
hyo sio biashara kwali kweli

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka laki2 unakipata kipyaaa hakijawahi kutiwa najisi wewe unauza kilichotumika kwa 400000???
Crush crush hahah

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
mkuu kuna sehemu utaweza kukiuza kwa laki nne ila sio hapa jamii forum. Icho kitanda ni 250k tu. kama na wew unahitaji ni PM.
 
Mpaka laki2 unakipata kipyaaa hakijawahi kutiwa najisi wewe unauza kilichotumika kwa 400000???

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] nimecheka hahahaaa. Eti hakijawahi tiwa najisi
 
Biashara.
Kitanda Safi cha chuma,
Ukubwa ni 5"X 6"
Hakina mchubuko wala mkwaruzo
Hakina kutu wala tatizo la aina yoyote ile.
Bei ni 400,000 (mazungumzo yanakaribishwa)
Mawasiliano:
0716403314
0625882454
bd6f5db945aa128b33cf65375794272f.jpg
26f9912ba99f5e1bdcb1574a11a1a6d1.jpg
2c675554731e349bf07cb682cfb5b5de.jpg

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
400000 ni kitanda na godoro au kitanda pekee.....mkuu keko ni 300000 kikiwa mpya sasa we ushachezea had ndondo cup ....maybe watakuja wanunuz
 
Back
Top Bottom