INAUZWA Kitanda Safi cha chuma: (hutojutia pesa yako)

Mi siwezi kulala kwenye grilli

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka laki2 unakipata kipyaaa hakijawahi kutiwa najisi wewe unauza kilichotumika kwa 400000???
 
Hivi vitanda ni vizuri sana kwa Mechi za ligi kuu, Nawashauri vijana mnunue.

Enzi zetu palikuwa na vitanda kama hivi vinaitwa BANCO.
 
hyo sio biashara kwali kweli

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka laki2 unakipata kipyaaa hakijawahi kutiwa najisi wewe unauza kilichotumika kwa 400000???
Crush crush hahah

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
mkuu kuna sehemu utaweza kukiuza kwa laki nne ila sio hapa jamii forum. Icho kitanda ni 250k tu. kama na wew unahitaji ni PM.
 
Mpaka laki2 unakipata kipyaaa hakijawahi kutiwa najisi wewe unauza kilichotumika kwa 400000???

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] nimecheka hahahaaa. Eti hakijawahi tiwa najisi
 
400000 ni kitanda na godoro au kitanda pekee.....mkuu keko ni 300000 kikiwa mpya sasa we ushachezea had ndondo cup ....maybe watakuja wanunuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…