Uchaguzi 2020 Kitanzi cha CCM Kawe: Watia nia 176 wa ubunge dhidi ya Halima Mdee CHADEMA

Uchaguzi 2020 Kitanzi cha CCM Kawe: Watia nia 176 wa ubunge dhidi ya Halima Mdee CHADEMA

Kama kawe watapita Hawa halima kutusua ni ngumu

1.Angela kazigha , safari hii ccm kawe wake nae
2.Yusuph Mwenda yule meya wa kino zamani
3.Kuna jamaa anaitwa bulldozer

Gwajima huyu anafaa kupiga debe nchi nzima ,muhimu waumini wake wapewe maelekezo
Anjela ana hela chafu ila hauziki piga ua kwa sie wakazi wa Kawe
 
Unaishi wp mkuu mpk unajitoa ufahamu hv?? Hakuna uchaguzi usio na makundi hata ss huku chadema makundi yapo,.lkn tofauti yetu na ninyi ni kuyalea...sisi chaguzi ikiisha na kundi linavunjika rasmi...ccm yanalelewa hadi uchaguzi ujao...ndo pale sisi wapinzani tunaponufaika nayo kwn huja na tukose wote
Kama hamyalei inakuwaje munafukuzana
Au ulikuwa mtoto enzi ya akina Zitto.
 
.......Halima, DJ , Sugu , Prof J ,wote kwishney nawashauri watunze vizuri kiinua mgongo chao bunge lijalo hawana siti tena za kwenda kuzipasha joto!!

mimi ni sisiem najua what we kijani think and do kwa watu dizaini ya Mdee! sisiem hatupendi kulea wanaotukera na kukwamisha juhudi, Magufuli the Black White man aka Bulldozer aka Mubashara hahitaji kina Halima na kelele zao wanatuchelewesha kufikia uchumi wa juu, bao la mkono ni halali yake Halima kama akisumbua kwenye kura!!!
Kwa nn hamtaki kuheshimu kura za wananchi?

Majizi nyie afu kila siku mnasema mna mungu!!!
 
Kwani Jumla ya Wajumbe waliomchagua Mdee si ni 63 kati ya kura 71. Ona Sasa CCM Wagombea tu Wapo Wengi kuliko wapiga kura wa Chadema huko Kawe. Kimahesabu huko kawa CCM inawapiga kura wengi na wamejiandaa kisaikolojia atakayepenya kati yao huyo ndiye atakuwa Mbunge wa Kawe. CCM kumeonekana ni Kuzuri sana sasa hivi.
Ni kuzuri kwa dhahania ya wagombea lakini siyo kiuhalisia wa wapiga kura. Kwa uchaguzi wa haki ccm hamna kitu, watu wameichoka.
 
Ni kuzuri kwa dhahania ya wagombea lakini siyo kiuhalisia wa wapiga kura. Kwa uchaguzi wa haki ccm hamna kitu, watu wameichoka.

mambo mawili yanaweza kutokea katika mubashara na uwazi wa kuhesabu kura za uchaguzi mkuu

1.ikiwekwa amri ya Magu kura uchaguzi mkuu zihesabiwe vituoni mbele ya wapiga kura kwavile kwasasa ni 1/3 wana piga kura basi ni uhakika idadi ya wapiga kura itapaa juu itakuwa double 2/3.

2. uhesabuji ukiwa mubashara mshindi hawezi kupangwa labda kuwe tayari kumepenyezwa masanduku ya kura zilizokwishapigwa !!
mshindi halali atapatikana na washindi watamfanana Magufuli watatenda haki na watamsaidia toka moyoni na nchi itapiga hatua kubwa kiuchumi kwa kuwa na viongozi makini na wa haki wataotenda mambo ya kizalendo tupu kuwalipa wapiga kura , kuliko ikiwa zoezi la kuhesabu kura litaendelea kufanyika gizani na kugubikwa na wizi , ikiwa uhesabuji kura utaendelea kuakisi fikra za Nyerere nchi hii itabaki nyuma kimaendeleo kwa miaka mingi!!
 
Kwa wagombea hawa niliowaona na kuwasikiliza, wapitishwe wote tu kisha Mdee awabutue asubuhi na mapema.
 
======
UPDATE: Waliochukua fomu hadi leo, Julai 17, wamefikia 176
======

Hili linaweza kuwa ajabu lingine la dunia ama linaweza kuingia kwenye kitabu cha rekodi za dunia World Guinness Book of Records, ama linaweza kuvunja rekodi ya nchi na dunia kwa jimbo moja la ubunge kuwa na watia nia wengi kuwahi kutokea na karibia asilimia mia moja wa chama kimoja.

Pamoja na kwamba kibubu cha tume ya uchaguzi ya CCM kitatuna kwa mapato na pengine kuwa jimbo lililoingiza mapato mengi zaidi kwa kuuza form nyingi zaidi lakini madhara yake ni makubwa kuliko hayo mapato.

1. Katika watia nia wote hao 80 nina hakika hawapungui walau 20 wenye nguvu ya pesa, ushawishi ndani ya chama na wale wa mbeleko na vimemo. Kwa kuzingatia hili pekee tayari yatatokea makundi yasiyopungua 10 hivi. Makundi yenye nguvu na misuli ya kila aina. Hapa badala ya kupambana na adui yataanza kupambana yenyewe kwa yenyewe.

Jimbo la Kawe lililomegwa kutoka Kinondoni limekuwa na umaarufu mkubwa kuliko hata Kinondoni yenyewe na hii pengine ni kutokana na jiografia yake na aina ya mtu anayelishikilia.

3. CCM wanalitaka hilo Jimbo kwa hali na mali. Na wamewekeza muda mrefu sana tena kwa gharama kubwa mno. Hivyo kitendo cha kulikosa kitakuwa aibu kubwa, fedheha na hasara kubwa kisiasa.

4. Kitendo cha wanaume na uwekezaji wao wote kuja kushindwa na mwanamke mmoja ni ndoto ya kutisha sana na jinamizi wasilolipenda CCM

5. Kuonesha umwamba na ubabe kuwa wakitaka kitu hawashindwi kwakuwa wana kila kitu kila nyenzo ya kupata ushindi

Ni kwa muktadha huo wa kukamia kulikopitiliza hilo jimbo.. Wamejikuta wanatoa boko. Kwakuwa watatumia muda mwingi sana kwenye:
Mchujo
Kupata tano bora
Kwenye kupata mgombea mmoja
Kwenye kuunganisha makundi
Kwenye kuponya majeraha kabla ya uchaguzi

Kumbuka kila hatua kati ya hizo zote itaacha maumivu kwa kundi fulani
Ni wakati wakihangaika na yote haya Halima Mdee atakuwa busy kuimarisha himaya yake.

Matokeo yake ni nini? Muda utasema



CCM ni level nyingine bro
Watia Nia wote wanakua no mgombea mmoja tu atakayepita na mwishowe kuwa mbunge!
Hii idadi kubwa no kuonyesha Imani ya wanachama kwa chama Chao dhidi ya mwenyekiti wao
Na tambua hizo zote ni kura za CCM uchaguzi wa october
 
CCM ni level nyingine bro
Watia Nia wote wanakua no mgombea mmoja tu atakayepita na mwishowe kuwa mbunge!
Hii idadi kubwa no kuonyesha Imani ya wanachama kwa chama Chao dhidi ya mwenyekiti wao
Na tambua hizo zote ni kura za CCM uchaguzi wa october

Endelea kujitekenya mlamu, mimi na wenzangu tumekubaliana kuhamia upinzani baada ya kukosa nafasi.
 
Mkuu mimi kuamini Mdee is no more as mbunge wa Kawe hakunijengei aibu yoyote kwenye jamii!! kwani kosa langu ni lipi na kura zitapigwa kujua ni Mdee au Paskal Mayalla?

Mkuu siku zote kuna stages za kuukubali ukweli naelewa ni ngumu kumeza na ni lazima chadema mzipitie stages zote, stage namba moja ni Information!! namba mbili ni DENIAL , mkijikwamua toka hapo DENIAL mlipokwamia miaka yote hii huko mbele kwenye CONSCIOUSNESS and Reality ni mteremko!

Halima, DJ , Sugu , Prof J ,wote kwishney nawashauri watunze vizuri kiinua mgongo chao bunge lijalo hawana siti tena za kwenda kuzipasha joto!!

mimi ni sisiem najua what we kijani think and do kwa watu dizaini ya Mdee! sisiem hatupendi kulea wanaotukera na kukwamisha juhudi, Magufuli the Black White man aka Bulldozer aka Mubashara hahitaji kina Halima na kelele zao wanatuchelewesha kufikia uchumi wa juu, bao la mkono ni halali yake Halima kama akisumbua kwenye kura!!!
Can't waste my precious time on this crap.
 
nisaidie mkuu maana ya crap na kujenga hoja kile umeona ni crap
Umenilazimisha nirudi nyuma kutafuta mengine uliyochangia kwenye mada hii ili niondoe shaka na niliyokujibu kwenye bandiko tuliloanza kujibishana hapa.
Nimejiridhisha kuwa, sina muda wa kuendelea kujibishana nawe hapa.
 
Back
Top Bottom