Watz ni jamii inayo-embrace mambo hasi zaidi na kuyadumisha kuliko mambo mazuri...UVIVU both kufikiri na kutenda ni kati ya hayo mambo hasi, lakin ni watu wanapenda raha hata kabla ya kufanya kazi..wakati mwingine unashangaa hata pambio za kuvutia wawekezaji ni kama kupoteza muda, ukiwauliza wawekezaji discipline ya watz kufanya kazi watakuambia kazi ya siku 3 Tanzania inafanywa wiki 2 hadi kukamilika, hali ya namna hii mwekezaji gani serious na uwekezaji atakuja hapa? sehemu ya kurekebisha kwanza ni kwenye nafasi za uongozi..hapo pakikaa sawa huku chini hakuna shida.