Kitanzi cha gawio

Hiyo loss inafanya wao wasilipwe mishahara yao? Hata ukiliuza ndio utawanyima stahiki zao? Wao sio losers sababu shirika sio mali yao.
 
Hiyo loss inafanya wao wasilipwe mishahara yao? Hata ukiliuza ndio utawanyima stahiki zao? Wao sio losers sababu shirika sio mali yao.
Ndio maana private sector wafanyakazi wa Serikali huiogopa

Mishahara private sector multi national companies minimum equivalent to shilingi milioni 60 kwa mwezi after tax kwa senior officers

Ndio maana wanaona heri wabaki serikalini kwenye net take home milioni Tatu kwa senior government officers kwa kisingizio cha job security! Kumbe wanakimbia serious performance measures targets !!

Lakini watanzania wengi hawawezi sababu kuna daily and weekly income and profit performance measures hawawezi kufikia usipofikia kibarua huna!! Wanaona mmm hakuna job security!!
 
Watz ni jamii inayo-embrace mambo hasi zaidi na kuyadumisha kuliko mambo mazuri...UVIVU both kufikiri na kutenda ni kati ya hayo mambo hasi, lakin ni watu wanapenda raha hata kabla ya kufanya kazi..wakati mwingine unashangaa hata pambio za kuvutia wawekezaji ni kama kupoteza muda, ukiwauliza wawekezaji discipline ya watz kufanya kazi watakuambia kazi ya siku 3 Tanzania inafanywa wiki 2 hadi kukamilika, hali ya namna hii mwekezaji gani serious na uwekezaji atakuja hapa? sehemu ya kurekebisha kwanza ni kwenye nafasi za uongozi..hapo pakikaa sawa huku chini hakuna shida.
 
Uko sahihi ni watanzania wachache ambako wako serious sana kufanya kazi na investor6 au foreigners sio kwamba hawapo ila wako wachache wakaolewa culture ya investors na deliverables according to Company performance measures
 
Huyu mama tuwe nae makini Sana na kauli zake maana anaongea mambo wakati na yeye alikuwa sehemu ya mfumo huo huo ambao leo hii anaupigia kelele Kuna muda Watanzania tuwe myopic kwa hawa viongozi kwa sifa za ajabu ajabu ni wakati wa hawa viongozi kuwa pussyfooting
 
Hata chuo Cha SAUT kilitoa gawio badala ya kuweka mazingira mazuri ya chuo Kuna muda hii nchi huwa na viongozi wa hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…