Pre GE2025 Kitatokea nini endapo vyama vingine vya upinzani vitajiunga na maandamano ya CHADEMA?

Pre GE2025 Kitatokea nini endapo vyama vingine vya upinzani vitajiunga na maandamano ya CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acha uzushi wako wrwe. . Mheshimiwa Makonda amewakaba koo mpaka mmeanza kukimbia vimvuli vyenu na sasa mnaanza kutunga uzushi na uongo wenu
 
Sidhani kama hilo linaweza kutokea!
Hivyo Vyama vingine ni matawi ya Chama pendwa!
CDM ndicho Chama pekee cha Upinzani kilichobaki cha Wananchi.
 
Watawanye uwatawale ndio njia wanayotumia hawa jamaa yaani watafanya kila njia rejea swala la ukawa na kumsimamisha mgombea 1
 
Kuna swali tu nimejiuliza hapa, what if tule tu vyama vingine vya Upinzani vitajiunga kwenye maandamano yanayoratibiwa na CHAMA KIKUU CHA UPINZANI? Kisheria ikoje? Itabidi na wao wakaombe kibali cha maandamano??

swali la ziada, je maandamano haya hayaweze ku-escalate na kuwahusisha watu wote? Je huu huenda ukawa ndio muendelezo wa kuanguka kwa CCM?

Niko Kasulu hapa tunajaza mafuta bodaboda na kulazimisha wanafunzi na wana vyuo na magari ya Mashirika ya Misaada ya Wkimbizi kesho wajitokeze kumpokea "Mhemezi" wa CCM. Karibu Kasulu
Ukitoa CHADEMA na ha Rungwe mengine yote ni mashina ya CCM na hayawezi kuungana kudai haki
 
Back
Top Bottom