Pre GE2025 Kitatokea nini endapo vyama vingine vya upinzani vitajiunga na maandamano ya CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanao Amini kama ww nanyi andaeni maandamano kufahamisha watu mawazo yako!
Tulishaikataa chadema na uchaga wake tupo na chama cha watanzania wote yani ccm
 
Acha uzushi wako wrwe. . Mheshimiwa Makonda amewakaba koo mpaka mmeanza kukimbia vimvuli vyenu na sasa mnaanza kutunga uzushi na uongo wenu
 
Sidhani kama hilo linaweza kutokea!
Hivyo Vyama vingine ni matawi ya Chama pendwa!
CDM ndicho Chama pekee cha Upinzani kilichobaki cha Wananchi.
 
Watawanye uwatawale ndio njia wanayotumia hawa jamaa yaani watafanya kila njia rejea swala la ukawa na kumsimamisha mgombea 1
 
Ukitoa CHADEMA na ha Rungwe mengine yote ni mashina ya CCM na hayawezi kuungana kudai haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…