FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Gozi halipo nyumbani leo?
Gozi linakaa? linaenda kunitafutia liniletee nizitumie, unanchekesha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gozi halipo nyumbani leo?
kitchen party ilitakiwa walimu wawe wanaume
na wanaume wapewe mafunzo na wanawake wataalam....walio kwenye ndoa kwa miaka isiopungua kumi lol
Gozi linakaa? linaenda kunitafutia liniletee nizitumie, unanchekesha!
Boss you think miaka 10 yatosha? lol Imagine you date women for almost 11 - maybe 15 years befoe marring but still you don't understand us.... hahahah...
hakuna mwanaume wa 'kumuelewa mwanamke' and vice versa
ushauri bora wazoefu wanatupa ni kuwa 'mvumilivu'
get it?
What's your say on the matter? What should be the advice?
You do know of course that Uvumilivu has it's mipaka...
kwanza ni kupiga marufuku kwa 'mashangingi ' kugeuka walimu wa ndoa na kitchen party..
hawafundishi kitu zaidi ya kupotosha....
pili viandikwe vitabu vyenye story za migogoro ya ndoa na namna ya kuepuka
na sio kila mtu tu awe anabwabwaja tu...vitabu vitasaidia hasa kama watu wengi wamevikubali
kwa hiyo muandishi atakuwa na heshima zaidi

umenena vema mkuu..........thanxNyie mnawachezea akili tu dada zetu na haya mambo ya "sexual life" kama msingi wa ndoa. Mwisho wa siku watu wanagundua kumbe ndoa ni zaidi ya sex! shauri lenu!