Kitchen Party kutoka Kaunta (Kaunta party) kwa wanawake walioolewa na wanaotarajia kuolewa...

kitchen party ilitakiwa walimu wawe wanaume
na wanaume wapewe mafunzo na wanawake wataalam....walio kwenye ndoa kwa miaka isiopungua kumi lol
 
kitchen party ilitakiwa walimu wawe wanaume
na wanaume wapewe mafunzo na wanawake wataalam....walio kwenye ndoa kwa miaka isiopungua kumi lol

Boss you think miaka 10 yatosha? lol Imagine you date women for almost 11 - maybe 15 years befoe marring but still you don't understand us.... hahahah...
 
Boss you think miaka 10 yatosha? lol Imagine you date women for almost 11 - maybe 15 years befoe marring but still you don't understand us.... hahahah...

hakuna mwanaume wa 'kumuelewa mwanamke' and vice versa
ushauri bora wazoefu wanatupa ni kuwa 'mvumilivu'
get it?
 
hakuna mwanaume wa 'kumuelewa mwanamke' and vice versa
ushauri bora wazoefu wanatupa ni kuwa 'mvumilivu'
get it?

What's your say on the matter? What should be the advice?
You do know of course that Uvumilivu has it's mipaka...
 
What's your say on the matter? What should be the advice?
You do know of course that Uvumilivu has it's mipaka...

kwanza ni kupiga marufuku kwa 'mashangingi ' kugeuka walimu wa ndoa na kitchen party..
hawafundishi kitu zaidi ya kupotosha....
pili viandikwe vitabu vyenye story za migogoro ya ndoa na namna ya kuepuka
na sio kila mtu tu awe anabwabwaja tu...vitabu vitasaidia hasa kama watu wengi wamevikubali
kwa hiyo muandishi atakuwa na heshima zaidi
 
The Boss this post is Marvellous.... In fact hao the so called mashangingi wameanza kufundisha mabinti katika kitchen party kua binti awe na mwanaume wa ziada..... Niliwahi sikia (kwanza nilihusika katika hio debate); Mwanamke mmoja akanyanyuka bila hiana wala aibu kusema kua maisha yamebadilika na ndio maana kuna mitandao mingi, hivo binti awe na mtandao zaidi ya mmoja, kwamba mmoja ukigoma aweza piga simu kwa another phone co. (meaning kua awe na hawara) Kulitokea ubishani hapi, kidogo ile sherehe iharibiwe!

The Boss nimekubaliana nawe kabisa....
 
Sikujua kuwa ndoa ni kufanya matusi tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu muda wote.:smash:
 
Unaamini kitcheni part ina add value kwa mwanamke?

Unaamini ndoa itafanikiwa kwa kufundishwa na magwiji na vitabu?
Kama ndio, mama zetu waliwezaje bila hayo mafunzo na vitabu?
 
wanaume bwana wa ajabu.hapa mnapinga lakini mkifanyiwa na vimada wenu mnawa credit kuwa wanafaa.kwani hawala yako (kama unaye) ukiumwa anakuuguza?mbona ukipona unakimbilia huko...nampongeza mtoa mada maana ndoa nyingi zimekosa ubunifu wa TENDO matokeo yake mnavamiana kwenye shuka .mbona kabla haya yote yanafanyika.
 
...ili ufaulu, chukulia ndoa ni mtihani unaotakiwa kujibiwa kwa uzoefu wa matukio yaliyopita dhidi ya yajayo.
Sumu ya ndoa ni kusahau, au kurudia makosa. Ndoa ni reminder maishani mwako kwamba you are not perfect! (...na mkeo/mumeo ni examiner wako)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…