Kitchen party/send off hata baada ya kuachika mara 3,4,.....?

Safety last

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
4,236
Reaction score
1,411
Wapendwa nimeshuhudia kitchen party sijui ndo send off ya mmama mtu mzima sana na hii ilikuwa ni ndoa ya tatu kwake ,hivi hizi send off ni binti anayeolewa kwa mara ya kwanza tu au hata kwa jimama aliyeolewa na kuachika more than thrice ,yeye si kashafanyiwa send off toka zamani ?nauliza tu
 
Umegusia la maana saaana.... sijui huwa wanawaza nini aisee...
 
hz party siku hz watu wanazitumia kujikusanyia vyombo, nguo n.k. Hazina maana tena! We mtu kaolewa kaachka k'party ya nn jaman??
 
Duuh..so hyo harusi yake wazee wake pia walihudhuria?(km wapo hai)minadhani wangeenda tu kwa padri na mashahidi kwisha hbr.
 
Dah, umenikumbusha aisee.... HIli nalo ni muhimu kujadili, yaani kiporo kinapashwa moto mara nne tano na bado tunachangishwa
 
maambo ya ajabu ya wanawake utashangaa
mimi siku hizi najiuliza kuhusu carol light ni nini hasa?

nasikia inaimbwa mpaka kwenye taarabu...ni kitu gani?????
 
hz party siku hz watu wanazitumia kujikusanyia vyombo, nguo n.k. Hazina maana tena! We mtu kaolewa kaachka k'party ya nn jaman??[/QUOT

Thanks dear, yaani utafikiri ulikuwa kwenye akili yangu
 
Kitchen party nilichojifunza ni za kumfanya mtu apate vyombo vya kuanzia maisha and has nothing to do with kumfunda bi harusi mtarajiwa. Well kama huyo mama anaeolewa mara ya tatu na anafanya send off hiyo mimi naweza sema ni ligi. Huyo mama au ndugu zake watakuwa wameshachangia watu sana kwenye shughuli zao sasa na wao wanalazimisha pay back.

Mimi wakati nasoma masters nilikuwa nasoma na dada mmoja Mkenya. Wakati mimi ilikuwa ni scholarship yeye alikuwa anasomeshwa na ndugu na jamaa kwa njia ya michango! Watanzania tubadilike mambo ya harusi na vyombo sijuhi nini iwe ni juu ya maharusi. Kwani unapooa au kuolewa unakuwa hujajipanga?

Tuanze utamaduni wa kuchangia elimu za ndugu zetu na si sherehe ya siku moja au sijuhi vyombo. Eti utasikia budget yake ya harusi ilikuwa 15m. 15m my foot. Hatuoni kuwa tunafanya kufuru, cant we channel those money to those who need them most. Sisemi ziende kwenye charity la asha ila ziende kwa ndugu wa karibu wenye akili lakini hawana wa kuwasomesha!
 
dada umeongea sahihi kabisa
 
mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
hilo nalo nenooooo
its too much
haina maana hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…