Kitchen party nilichojifunza ni za kumfanya mtu apate vyombo vya kuanzia maisha and has nothing to do with kumfunda bi harusi mtarajiwa. Well kama huyo mama anaeolewa mara ya tatu na anafanya send off hiyo mimi naweza sema ni ligi. Huyo mama au ndugu zake watakuwa wameshachangia watu sana kwenye shughuli zao sasa na wao wanalazimisha pay back.Mimi wakati nasoma masters nilikuwa nasoma na dada mmoja Mkenya. Wakati mimi ilikuwa ni scholarship yeye alikuwa anasomeshwa na ndugu na jamaa kwa njia ya michango! Watanzania tubadilike mambo ya harusi na vyombo sijuhi nini iwe ni juu ya maharusi. Kwani unapooa au kuolewa unakuwa hujajipanga? Tuanze utamaduni wa kuchangia elimu za ndugu zetu na si sherehe ya siku moja au sijuhi vyombo. Eti utasikia budget yake ya harusi ilikuwa 15m. 15m my foot. Hatuoni kuwa tunafanya kufuru, cant we channel those money to those who need them most. Sisemi ziende kwenye charity la asha ila ziende kwa ndugu wa karibu wenye akili lakini hawana wa kuwasomesha!