BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
1. Chumvi ikizidi kwenye mchuzi menya kiazi mbatata weka ganda acha uchemke chumvi itapungua sana
2. Ukiunguza wali kata kitunguu maji nusu weka kwenye wali funikia inakata harufu ya moshi
3. Tui lisipokolea kwenye maharage weka unga wa sembe tikisa acha itokote hata kama nazi ni nusu itakua kama umeweka nazi tatu
4. Maharage ukitaka yaive upesi weka kijiko cha baking powder
5. Mchuzi wa maini ukitaka uwe rast nzito au mchuzi wowote na hauna nyanya za kutosha weka kijiko kimoja cha chakula unga wa ngano ukoroge na maji kidogo then weka kwa mchuzi wacha uchemke dk 5
6. Muhogo ukiwa chelema weka making powder kijiko kimoja
7. Nyama ikiwa ngumu au ukitaka ilainike upesi kwangulia papai bichi
8. wali ukishik/ukiungua, kabla ya kufunikia, waweza pia tumia margarine au blue band, ukipakua harufu ya kuungua haitokuwepo tena.