Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
There is a subtle statement in that Shakespearean foolish answer.
Duuh, kumbe 1998 !! Hapo juu niliweka ya 2008.
Yeah, I deserve to get zero! Ngoja nirudi tena kupekua kurasa.nimecheka.. ndio maana mtu unajikuta tunapewaga zile alama yenye masikio!! LOL
The major issue in July 1998? Twin attack of the US Embassies in Dar and Nairobi?
I doubt The Value Added Tax (VAT) was introduced in Mainland Tanzania on 1st July, 1998introduction of VAT
Ina maana Balali alipoteuliwa kuwa Gavana ndio mjadala kati ya watawala na watawaliwa ulipoanza? Hebu kuwa specific kidogo!
yeh vat ilianzishwa 1st of julyI doubt The Value Added Tax (VAT) was introduced in Mainland Tanzania on 1st July, 1998
yeh vat ilianzishwa 1st of july
Je balali ushauri wake kwa TZ mkubwa nini?
tuweke wizi wake kando