Kitendawili: 12 Julai, 1998 kulitokea nini?

Kitendawili: 12 Julai, 1998 kulitokea nini?

ufaransa alimfunga brazil goli 3-0 kwenye mashindano ya kombe la dunia na kuwa mabingwa wa dunia
 
There is a subtle statement in that Shakespearean foolish answer.

Wakitaka ripoti yenye mafinyufinyu na mauozo ipite katika kikao husika. Huwa inawekwa mwishoni mwa siku katika siku za kikao. Ili watu wasiwe na muda wa kuchambua na kuona madudu yaliyomo. Kwanza kwa sababu ya uchovu na pili kwasababu ya kuwahi kwenda majumbani(washiriki wengi hawatapenda kucheleweshwa na hiyo ripoti).

Mkitakakufanya maamuzi ambayo mnajua reaction ya watu itakuwa kubwa basi fanya siku ambayo mawazo na shauku zao ziko katika jambo jingine lenye mvuto na lililotangazwa sana(au mlitangaze sana) mfano halisi ni fainali ya KOMBE LA DUNIA. Hata kesho yake ni siku kadhaa zitakazo fuata mawazo ya wengi yatakuwa bado katika Kombe la dunia.
 
Yalikuwa malumbano kati ya RA na Mch. mmoja machachari aliyewahi kupigwa jiwe Tarime, baada ya RA kuchangia kwaya ya KKKT Kinondoni, kitendo kilichopingwa na Rev., na baadaye RA kusema hata Rev. anayepinga alishawahi kupokea hela kwake yeye (RA) !!!
 
Naomba kijiji.. !! majibu yenu yangelenga jinsi gani tukio hilo la Julai 12 (siyo siku au kipindi kingine cha mwezi huo) lilibadilisha mwelekeo wa taifa letu kiasi kwamba miaka 11 baadaye bado tunatikiswa na dhoruba yake.
 
Duuh, kumbe 1998 !! Hapo juu niliweka ya 2008.
 
Nakupa Kijiji cha Kijijini kwetu kwa mzee mwana Kijiji anakoishi yeye na wanakijiji wakijadili yanayojiri kijijini wakiwa wameketi kwenye Jamvi la kijiji kutoka hapo hapo kijijini kwao Karibu sana.
 
mwanakijiji umeshapewa mji,tuambie hiyo siku ya jumapili ya july12,1998 kulikuwa na tukio gani?wacha kutupa jakamoyo kiasi hiki kaka
 
Nawashukuru wote waliojaribu kuchangia. Kuna mtu mmoja nadhani alijua jibu lakini aliniandikia kwenye PM kwa hiyo ingawa hakutaja hasa ila alikuwa kwenye right track. Basi nimeamua kukitegua.. rudi kwenye post ya kwanza..!!! Na nimeamua kwenda "kijijini kwetu"..
 
Ina maana Balali alipoteuliwa kuwa Gavana ndio mjadala kati ya watawala na watawaliwa ulipoanza? Hebu kuwa specific kidogo!
 
yeh vat ilianzishwa 1st of july


Je balali ushauri wake kwa TZ mkubwa nini?
tuweke wizi wake kando

mwizi akiingia nyumbani akakuibia halafu akavipanga vitu vyako na kufagia utamshukuru kwa usafi?
 
Back
Top Bottom