Kitendawili: 12 Julai, 1998 kulitokea nini?

Kitendawili: 12 Julai, 1998 kulitokea nini?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Kuna kitu kilitokea ambacho kilibadilisha au kimebadilisha nchi yetu moja kwa moja na hususan mjadala kati ya watawala na watawaliwa? Leo ni miaka 11 baadaye...mwenye kutegua ategue!
 

Attachments

  • AboutDaudiBallali.JPG
    AboutDaudiBallali.JPG
    315 KB · Views: 120
Last edited:
Mimi ngoja nikalale, wakikitegua naomba unijulishe....LOL
 
Hapa mkjj utawakamata wengi sana!
 
Balaaa wenye data na kumbukumbu watukumbushe....
 
Iliundwa kamati ya kukusanya mawazo ya wananchi kuhusu mabadiliko ya katiba.?
 
Tume ya Jaji Warioba kuhusu rushwa ,iliwakisha ripoti yake kwa mheshimiwa Raisha
 
Ilikuwa siku ya World Cup final kati ya Brazil na France, France wakatoka kidedea kwa 3-0!!!
 
Mkutano ufuatao ulifunguliwa na Mwl.Nyerere: Utamaduni wa siasa na hatima ya demokrasia Tanzania

Vitabu vifuatavyo vinaelezea hayo:

Utamaduni wa siasa na hatima ya demokrasia Tanzania. By: Rwekaza S Mukandala Samuel S. Mushi and Saida Yahya-Othman (Editors). 2000.

Kitabu hiki na mkusanyiko wa mada zilizotolewa katika mkutano wa sita wa hali ya siasa Tanzania uliofanyika katika chuo kikuu cha Dar esSalaam Julai 1998. Mkutano huo ambao ulifunguliwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ulijadili na kuchambua utamaduni wa siasa na hatima ya demokrasia Tanzania. Kitabu hiki chenye kurasa 185, ni mchango muhimu ambao utawasaidia wanasiasa, watafiti, wasomi, wanafunzi na watu wa kawaida kuelewa mwelekeo wa siasa ya Tanzania.

Pia kipo kitabu cha: Ujenzi wa Uwezo wa Tanzania by: Rwekaza S Mukandala na Joshua S. Madumulla. (Editors). 2000.
 
Kitendawili in Tanzania by JKN and ur suggestion on WC! haya bwana.

btw, ile issue nimepata solution.

It is a WORLD cup ....Tanzania being part of it though it might not get to send a team to play in the finals!!

Good, umefanikisha!
 
mkjj please come back to mark some answers here
 
Kuna kitu kilitokea ambacho kilibadilisha au kimebadilisha nchi yetu moja kwa moja na hususan mjadala kati ya watawala na watawaliwa? Leo ni miaka 11 baadaye...mwenye kutegua ategue!
MWkjj acha mafumbo mkuu au tukupe mji?

Kumbuka hii ni week-end wengine bado tuna hang-over, usipotegua kitendawili hiki hako 'ka-inzi' katapuliziwa X-pel.
 
Back
Top Bottom