Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #21
Mama Samia...Wewe mzee tulia na wajukuu. Unachokitaka kiwe hakitatokea. Watu wanakupuuza.
Nga...We udini utakuuwa..!!
Tuzo ya kiislamu. Mdini mkubwa wewe.Mama Samia...
Sijapata kupuuzwa katika maisha yangu.
Jumapili iliyopita nimetunukiwa tuzo hiyo hapo chini katika ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre:
View attachment 3153852
Waislamu kwa jinsi ninavyofahamu kuna madhehebu mbalimbali, Je, hiyo BAKWATA ina nguvu katika madhehebu yote ya kiislamu?Mag...
BAKWATA ina nguvu kubwa.
Waislam hawawezi kujenga shule bila ya BAKWATA kuridhia kwa kuieleza serikali kutoa kibali cha ujenzi.
Wakikataa basi ndiyo mwisho.
Serikali haiendi kinyume na matakwa ya BAKWATA.
Mama...Tuzo ya kiislamu. Mdini mkubwa wewe.
Hii nayo Tuzo au uchafu na kupotezeana muda.Mama Samia...
Sijapata kupuuzwa katika maisha yangu.
Jumapili iliyopita nimetunukiwa tuzo hiyo hapo chini katika ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre:
View attachment 3153852
Inside10,Nani aliyekuwa anaogopa?! Na kwanini aogope?
Fortilo,Mzee wangu Mohamed Said hicho ni kifungo cha milele,
Hakuna kiongozi ambae hatapenda kufanya kazi na Bakwata...
Wale viongozi wanapewa VIP treatment na maamuzi ya haki ya juu kabisa kuhusu Waislamu na Uislam Tanzania..
I can guarantee you will never make it..
Labda mjiunge nao .
Kina...kila kitu kuanzia mwaka 1961 ni NYERERE na kumwogopa Sykes ...tumechoka habari zake ndo nchi imedumaa
Inside 10,Hivi anaposema "kanisa" huwa anaongelea nini? Na neno lipo too general..
John...Waislamu kwa jinsi ninavyofahamu kuna madhehebu mbalimbali, Je, hiyo BAKWATA ina nguvu katika madhehebu yote ya kiislamu?
Waislamu ambao hawaungi mkono BAKWATA, kwa nini wanashindwa kuunda taasisi yao binafsi ili kuipunguza nguvu BAKWATA ambayo wanaona hawakubaliani nayo? Wanashindwa Nini kufanya hivyo?
Mbona kwenye madhehebu ya kikristo wameweza ?
Lilitaka amani"Kanisa paleplale lilijitolea fedha kuipa BAKWATA ili ifanye uchaguzi wake"
......kanisa ilikua na masirahi gani katika uchaguzi wa bakwata?
Wala sio wewe unachoshaKina...
Ukichoka unajipumzisha kusoma niandikayo wala huna haja ya kujichosha zaidi kwa kuandika hapa kueleza hali uliyonayo ya uchovu.
Tatizo kubwa ulilonalo, ni kwamba kila mada unayoiandika, inalenga kuonyesha yafuatayo;Nga...
Kuandika na kuzungumza mambo yenye kuongeza elimu katika jamii na ulimwengu hakuui mtu.
Ingekuwa kunatoa uhai mimi ningeshakuwa marehemu miaka mingi iliyopita.
Zaidi kalamu yangu imenipa manufaa makubwa maishani.
Leo nikiweka video ya somo lolote lile ''viewers'' wanafika 80K.
Vyombo vya habari binafsi na umma vinapishana kizingitini kwangu kutaka mahojiano na mimi.
Vijana wadogo waandishi ambao ndiyo wanaanza kazi wamekuwa wapenzi wangu wakubwa na huchekeshana sana katika mahojiano.
Namuuliza ushasoma DOT Command.
Blank face.
Hajui nazungumza kitu gani.
Ananiuliza mchango wa Bibi Titi katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Jibu langu nampa swali.
''Umepata kumsoma Schneider Plantan katika historia ya uhuru?''
''Mjerumani huyu?''
Ananiuliza kwa mshangao.
''Hapana Mzulu huyu jina lake Schneider Abdillah Plantan.''
Tukimaliza ananiambia, ''Mzee Mohamed una madini sana.''
Tunacheka sote.
''Nikuoneshe picha zangu za ujana?''
Sasa vicheko vinaongozeka mpiga picha kesha maliza kazi yuko ''relaxed'' na yeye sasa anaingia katika mazungumzo anacheka.
Ndugu zetu yaani hawataki kukosolewa kabisa, yaani kuna masuala mengine hata yakijadiliwa kwa akili za haraka haraka tu they make a lot of sense lakini ndio hivyo sasa; ni sawa na kupigia mbuzi guitarTatizo kubwa ulilonalo, ni kwamba kila mada unayoiandika, inalenga kuonyesha yafuatayo;
1. Waislamu wanaonewa kila siku na kwenye kila jambo
2. Waislamu wapo juu kuliko wengine wote ila tu wanakandamizwa
Kitendo cha kutoona waislamu nao huwa wanakosea, waislamu wanaonewa kila siku ndo ninapopingana na wewe. Ki
Nani aliipiga marafuku?Mpaji...
BALUKTA ilipigwa marufuku.
Kina...Wala sio wewe unachosha
Huyu aitwae NYERERE
Nga...Tatizo kubwa ulilonalo, ni kwamba kila mada unayoiandika, inalenga kuonyesha yafuatayo;
1. Waislamu wanaonewa kila siku na kwenye kila jambo
2. Waislamu wapo juu kuliko wengine wote ila tu wanakandamizwa
Kitendo cha kutoona waislamu nao huwa wanakosea, waislamu wanaonewa kila siku ndo ninapopingana na wewe. Ki