- Thread starter
- #21
Sasa umekuja kwenye mada. Unaweza ukaamini hivyo. Lkn hii hofu waliyonayo baadhi ya CCm kuhusu harakati za Mzee imetokana na nini.Hana Siri yyt Muslim zaidi ya kukwama tu. Na Hakuna tofauti Wala Siri tunapoelekea 2020 ina Maana tunaelekea kwenye uchaguzi WA kumpata rais.
Unbelievable sisiema inaendelea kushikwa pabaya na wafadhili ilhali haiko tayari kumuachia nchi Maalim seif