K KISHADA JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 2,226 Reaction score 3,291 Feb 11, 2019 Thread starter #21 Mohamed Abubakar said: Hana Siri yyt Muslim zaidi ya kukwama tu. Na Hakuna tofauti Wala Siri tunapoelekea 2020 ina Maana tunaelekea kwenye uchaguzi WA kumpata rais. Unbelievable sisiema inaendelea kushikwa pabaya na wafadhili ilhali haiko tayari kumuachia nchi Maalim seif Click to expand... Sasa umekuja kwenye mada. Unaweza ukaamini hivyo. Lkn hii hofu waliyonayo baadhi ya CCm kuhusu harakati za Mzee imetokana na nini.
Mohamed Abubakar said: Hana Siri yyt Muslim zaidi ya kukwama tu. Na Hakuna tofauti Wala Siri tunapoelekea 2020 ina Maana tunaelekea kwenye uchaguzi WA kumpata rais. Unbelievable sisiema inaendelea kushikwa pabaya na wafadhili ilhali haiko tayari kumuachia nchi Maalim seif Click to expand... Sasa umekuja kwenye mada. Unaweza ukaamini hivyo. Lkn hii hofu waliyonayo baadhi ya CCm kuhusu harakati za Mzee imetokana na nini.
Damaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 3,978 Reaction score 6,739 Feb 11, 2019 #22 Tatizo hatuna hofu kuwa kifo kipo Sent using Jamii Forums mobile app