Punguza hasira mkuu .....mpira syo vitaVyura fc..mikataba fc...gongowazi fc..makabwili fc...kandambili fc...utopolo fc..manyani fc...vinyesi fc...magoli haba fc....
etc etc...
Mbona mnalazimisha kutufanya sisi wanasimba Wenye raha zetu kutuhamishia stress zenu?? Sisi tuna raha na timu yetu nyie mko kileleni ila mnateseka sanaaaa..hamna raha mpo kama mnajisaidia vichakani kila dkk mnageuka nyuma...
Kwani hapo nimekasirika? Relaax ka ujumbe kamefikaPunguza hasira mkuu .....mpira syo vita
Ila nilikumiss hujaandika thread zako za picha siku nyingi... 😆[emoji16][emoji16][emoji114][emoji114]