Kitendawili:Je! ni timu Gani hii. ngada fc au utopolo??

Kitendawili:Je! ni timu Gani hii. ngada fc au utopolo??

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Yani kuna timu ikishinda Kama imefungwa imefungwa tu,

yani wakishinda wapo nafasi yapili ,

wasiposhinda wapo nafasi yapili wakifunga magoli mengi bado wapo nafasi yapili

[emoji16][emoji16][emoji16]wasipocheza wapo nafasi yapili na wakicheza wapo nafasi yapili (Madunduka fc)

NB: comment ziwe fupi fupi......

Swali: Je tuendelee kumsubiri aliyejuu kuwa ipo siku atashuka????

Au
Tumfuate huko huko[emoji1787][emoji1787]
 
Tupate maneno ya wadhamini wetu
1672239741117.jpg
 
Vyura fc..mikataba fc...gongowazi fc..makabwili fc...kandambili fc...utopolo fc..manyani fc...vinyesi fc...magoli haba fc....
etc etc...
Mbona mnalazimisha kutufanya sisi wanasimba Wenye raha zetu kutuhamishia stress zenu?? Sisi tuna raha na timu yetu nyie mko kileleni ila mnateseka sanaaaa..hamna raha mpo kama mnajisaidia vichakani kila dkk mnageuka nyuma...
 
Punguza hasira mkuu .....mpira syo vita
 
Back
Top Bottom