Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,112
- 34,951
- Thread starter
-
- #21
Jaluo_ Nyeupe umepata mshindi ni wewe hongera nakupa Medali ya dhahabu Mshindi wetu hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeTega........ alizungumza na Yesu wakati alipofunga kwa siku arobaini.
Mkuu mbona hamnijibu swali langu? nauliza tena swali langu Kuna Shetani alizungumza na Binadamu. je Huyo binadamu anaitwa nani jina lake? Naomba jibu kutoka kwenu asanteni........
Jaluo_ Nyeupe umepata mshindi ni wewe hongera nakupa Medali ya dhahabu Mshindi wetu hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Si Nimekuewekea hapo chukuwa mkuu medali yako unatak nikupe Mkononi?thanks. sasa nitachukuaje hiyo dhahabu?
tuletee Medali ya kwako iliyokuwa Orignal?iyo medali mbona kama feki vileeeee.... Embu ijeuze tuone?