Naomba mnipe jibu la kitendawili hiki: Ni cheupe kama barafu na cheusi kama giza. Kuliwa ni HARAMU, kunywa ni HALALI. Hutumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na mara moja na wanawake katika maisha yao! Ni nini hiyo? Tafakarini mkishindwa mtafute Baraza la Kiswahili maana nimeulizwa na wanafunzi nimetafuta majibu nimekosa.