Kitendawili wana JamiiForums wote.......!

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kuna Mtu tokea juzi Watanzania tuliambiwa na Mnyetishaji wetu mwenye Nembo ya Kenya kuwa ana CORONA leo kaonekana Shamba la Mahindi.
 
Kitendawili gani Tena JAMANI?

Sijaelewa [emoji23]
 
Hahahaaaaaaa.....Kwa hiyo unataka kusemaje??
 
Gerson Msigwa alitabiriwa kuwa na korona na bwana kigogo ila akaonekana katika ziara ya Mh. Rais wa Ethiopia.

Sasa hivi mianya yote ya taarifa imezibwa kigogo anatapatapa kama samaki aliekosa maji 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…