Kitendawili

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kitendawili!!!!!
Ni mweupe Kama Barafu, Na Ni mweuc Kama Giza, Kuliwa Ni Haramu na ana manyoya mengi mwilini. Jina lake lina herufi (5) Na linaanzia Na Herufi (X). Wanaume huonana nae mara 3 kwa cku lkn wanawake humuona mara 1 ktk uhai wao wote. wafalme, maaskari, viongozi na wababe wanamuogopa sana lakini cha ajabu watoto wanamchezea. Chakula chake ni chumvi, tangawizi na maziwa. Ni Nani huyo?
 
nakupa mji..................nenda arusha
 
Mtu mzima atamwogopaje huku mtoto amchezee?
 
Hii n hadith mkuu...
 
Mkuu hata mimi sijui Kwa kweli kuna sehemu nilikopy na siku fuatilia vizur jibu
Siku nyingine ni vizuri ukiuliza swali uwe na jibu la uhakika, usiendekeze sana kuchukua maswali bila majibu husika, ila sio kwa ubaya ni sehemu ya kujifunza pia kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…