KITENDAWILI...?

sasa jibu nita toaje nikiwa kwa kipanki
umezidi kuchagua sana bhana.bora nikubwage Africa hii hii.ole wako napo ukatae nakurudisha kibiti alaa.
Ebu nenda somalia bhana aaaa
 
umezidi kuchagua sana bhana.bora nikubwage Africa hii hii.ole wako napo ukatae nakurudisha kibiti alaa.
Ebu nenda somalia bhana aaaa
hapo sawa ila unikodie choper
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…