Kitendo alichofanyiwa Diamond hakikuwa sahihi kabisa

baba anjela

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
431
Reaction score
310
Hivi watanzania mfanyiwe nini??? leo kweli unadiliki kuingia kwenye show ya diamond kwaajili tu yakumrushia chupa na kuzomea.hunashindwa kuwa nashukurani hata kidogo kwa mazuri aliyolitendea taifa. kweli watanzania bado tuko nyuma. na hii yote ni kwa sababu tumelizika kuwa nyuma kwa kila kitu.. sioni hajabu kwa ili la diamond.. nakumbuka mechi ya taifa star ilikuwa inacheza na Ivory coast .. nilishangaa kuona watanzania baadhi wanaishangilia ivory coast wakidai taifa star haina jipya. hii kweli ni sawa.. leo ugonvi wa watu wawili na hata kisa hatukijui .. tunauingilia wa nini mpaka tunasahau mipaka yetu ya ushabiki... haipendezi hata kidogo. na kama Kiba ndio master plan wa haya yote... basi na mshauri diamond kaa kimya kuendelea kulumbana unajishushia heshima kubwa.. sbb level yako sasahivi unaangaliwa kila kona ya dunia ulitendalo tanzania ,usishangae ukalikuta kwenye gazeti la ghana...huna haja ya kuwapa watu kick ili nawao wasikike.. sbb wanajua wakikutaja kwao ni kiki... mfano TID mtu ambaye angekuwa mstari wa mbele kama kaka kutatua tatizo ili.. yeye ndio kwanza anatafuta kick. TID iga mifano ya wenzako kama Duli Sykes mbona anaonyesha ukomavu .hacheni hizo .. mlikuwepo mkaboronga .. nakuishia kwenye kubwia PODA mnaonyeshwa njia bado mnajifanya vichwa maji... hovyooi
 

kafanyiwa nini? lini? na wapi?
 
wengine hatujui tukio lenyewe... fafanua.. kilio weka mwishoni.... mlikuwa wapi kwani..na nani alianza
 
hunashindwa,..hacheni...rekebisha kwanza haya maneno kuna ulazima gani kuanza na h..🙂
 
issue si nani yangu.. kikubwa ni kuwa support vijana wazidi kutanganza nchi yetu.. kunafaida nyingi sana katika hili ila kama hujawahi kutoka nnje ya east africa au afrika huwezi kunielewa.
 

hapa nimetoka kapa..
 
Nilikuwepo kwenye show na niliokota pesa za diamond na nikishuhudia wabongo walicho fanya ilikuwa leaderz kiwanjani show ya tigo kiboko yao....alianza kiba akamalizia mnyama diamon walikomatwa wanarusha makopo kipigo walipata kwa polisi wengine hawakukamatwa.....tatizo bongo hatupendi mafanikio ya mtu alinifurahisha diamon alipo okota kopo moja na kulupiga busu kisha akapiga wimbo wake wa "mm mti wenye matunda milele siogopi kupigwa mawe" akasema atapigana kufa na kupona siku zote kuwa wa kwanza tanzania.....yeye mziki kwake ni biashara na ni kazi so anaheshimi mziki....kw show alivyo piga kiukweli utaona kuwa jamaa anakipaji cha pekee en u cant compare with anyone fuji hzo ndogo zilanza wakati mwana fa na Ay wakipafomu kikubwa nj kuwa wabongo wengi hatujitambui may be kwa vile ilikuwa show ya bure na maji wanakupa ndo mana lakin kwenye ukweli tuseme diamond anajua
 
diamond ndio nani? ni mbunge wa jimbo gani kwani?
 
mtoa mada ni mjinga, nani kakwambia dully hali unga? uliza ma pusher wa kagera magomeni, nani kakwambia diamond hali vidonmge vya ectacy? pumba vuuuuuuuu
 
Watz cjui tupoje hatutaki kuona mtu ana mafanikio zaidi yetu tunapenda tulingane kwa umasikini mtu akituzidi basi tunamchukia wakati yy anahangaika sisi tumetulia tu. Na ndio maana ni maskini hatuna wivu wa maendeleo.
Big up platnumz
 
PT huyo, popote pale atakapokuwepo.
 
namuomba diamond afanye DIAMOND FOREVER PART2 Kwa kiingilio kilekile,..washabiki warusha makopo hawana hela na Ni walev WA viroba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…