baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Hivi watanzania mfanyiwe nini??? leo kweli unadiliki kuingia kwenye show ya diamond kwaajili tu yakumrushia chupa na kuzomea.hunashindwa kuwa nashukurani hata kidogo kwa mazuri aliyolitendea taifa. kweli watanzania bado tuko nyuma. na hii yote ni kwa sababu tumelizika kuwa nyuma kwa kila kitu.. sioni hajabu kwa ili la diamond.. nakumbuka mechi ya taifa star ilikuwa inacheza na Ivory coast .. nilishangaa kuona watanzania baadhi wanaishangilia ivory coast wakidai taifa star haina jipya. hii kweli ni sawa.. leo ugonvi wa watu wawili na hata kisa hatukijui .. tunauingilia wa nini mpaka tunasahau mipaka yetu ya ushabiki... haipendezi hata kidogo. na kama Kiba ndio master plan wa haya yote... basi na mshauri diamond kaa kimya kuendelea kulumbana unajishushia heshima kubwa.. sbb level yako sasahivi unaangaliwa kila kona ya dunia ulitendalo tanzania ,usishangae ukalikuta kwenye gazeti la ghana...huna haja ya kuwapa watu kick ili nawao wasikike.. sbb wanajua wakikutaja kwao ni kiki... mfano TID mtu ambaye angekuwa mstari wa mbele kama kaka kutatua tatizo ili.. yeye ndio kwanza anatafuta kick. TID iga mifano ya wenzako kama Duli Sykes mbona anaonyesha ukomavu .hacheni hizo .. mlikuwepo mkaboronga .. nakuishia kwenye kubwia PODA mnaonyeshwa njia bado mnajifanya vichwa maji... hovyooi