Kitendo alichofanyiwa Diamond hakikuwa sahihi kabisa

Tambua asilimia kubwa ya sisi wa tz ni mazuzu.

Tunarusha makopo kwa Diamond kwa wivu tu na si kingine.

Uwa hatuna kawaida ya kusifia vijana wanao tutangaza kama Diamond
 
namuomba diamond afanye DIAMOND FOREVER PART2 Kwa kiingilio kilekile,..washabiki warusha makopo hawana hela na Ni walev WA viroba.

Tatizo sio pesa wala show za bure tatzo ni team kiba tumeshuhudia free concert la coco baada ya fiesta hakuzomewa escape one aliperform kwenye part ya wanafunzi hakuzomewa darlive pia, kwa mifano hyo michache utajua tu kwann Mondi anazomewa akiwa na Kiba.
 
Tambua asilimia kubwa ya sisi wa tz ni mazuzu.

Tunarusha makopo kwa Diamond kwa wivu tu na si kingine.

Uwa hatuna kawaida ya kusifia vijana wanao tutangaza kama Diamond


point..
 
Wivu wakimasikini ndotatizo letu wabongo..hata hvyo diamond kamtengeneza Sana kiba kimziki.huko nyuma kiba alikua hovyo Sana mwenye stage,
Angalau sasahv unaweza kumtazama,.
 
Hawa mallaya anaowagonga diomond na kuwatema wana ndugu na mabwana zao humu. Nao hao ndio wasiotaka kusikia chochote hata kiwe na uzuri gani akifanyacho diomond.huku kwa ali kiba wanajifichia tu.
 
Rekebisha kiswahili chako kwanza... we live in a free world..ruhusa kushabikia hata timu ya kuzimu..ni sawa tu na raisi anapoenda kutibiwa nje badala ya muhimbili
 



mtu unaandika huku povu linataka kukukaba si utulie ueleze vizur . hivi kwa kweli mtu anayejua psychology ya consumer wa bidhaa yake anabusu kopo nakuimba " mimi ni mti wenye matunda ...." angeimba tu taarabu moja awachambe vizur.
 
TatiZo hawajajua kutofautisha - i na !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…