Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
namuomba diamond afanye DIAMOND FOREVER PART2 Kwa kiingilio kilekile,..washabiki warusha makopo hawana hela na Ni walev WA viroba.
Tambua asilimia kubwa ya sisi wa tz ni mazuzu.
Tunarusha makopo kwa Diamond kwa wivu tu na si kingine.
Uwa hatuna kawaida ya kusifia vijana wanao tutangaza kama Diamond
Mama yako lazma anamjua, go ask her! Who is diamond.
Nilikuwepo kwenye show na niliokota pesa za diamond na nikishuhudia wabongo walicho fanya ilikuwa leaderz kiwanjani show ya tigo kiboko yao....alianza kiba akamalizia mnyama diamon walikomatwa wanarusha makopo kipigo walipata kwa polisi wengine hawakukamatwa.....tatizo bongo hatupendi mafanikio ya mtu alinifurahisha diamon alipo okota kopo moja na kulupiga busu kisha akapiga wimbo wake wa "mm mti wenye matunda milele siogopi kupigwa mawe" akasema atapigana kufa na kupona siku zote kuwa wa kwanza tanzania.....yeye mziki kwake ni biashara na ni kazi so anaheshimi mziki....kw show alivyo piga kiukweli utaona kuwa jamaa anakipaji cha pekee en u cant compare with anyone fuji hzo ndogo zilanza wakati mwana fa na Ay wakipafomu kikubwa nj kuwa wabongo wengi hatujitambui may be kwa vile ilikuwa show ya bure na maji wanakupa ndo mana lakin kwenye ukweli tuseme diamond anajua
baba anjela diamond nani yako ??
Mond n mkal adi nigeria kwenye muzk wanamjua
wewe si shoga ya mama yake ungemjibu tu!Mama yako lazma anamjua, go ask her! Who is diamond.