Kitendo cha akina ‘Mdee’ kukubali teuzi za Bunge kwa jina la CHADEMA kitaathiri rufaa yao

Kundi la wanachama 19 maarufu kama ‘covid 19‘ walioomba ubunge wa Viti Maalumu kupitia CHADEMA walifukuzwa uanachama na Kamati Kuu na sasa wanasubiri rufaa yao waliyokata kwenye Baraza Kuu la chama hicho.

Unapokata rufaa maana yake unataka haki zako unazodhani zimeporwa zirejeshwe, lkn unapoendelea kuzitumia hizo haki kabla ya rufaa yako kusikilizwa maana yake unakiuka masharti ya rufaa kwa lugha nyingine unakidharau au hukiamini chombo unachotaka kikusikilize.

Kitendo cha kina Mdee na wenzake kukubali teuzi mbalimbali za bunge kwa jina la CHADEMA ni dharau kwa Baraza Kuu la CHADEMA, na kitaathiri sana maamuzi ya baraza juu ya rufaa yao.
Mbowe ndo anawatuma, wewe unahangaika mwenyekiti katulia tulii anakula ruzuku tu.
 
Hao kina Mdee ni watu hatari sana kwa mustakabli wa mageuzi hapa nchini.

Wapo tayari kukiuza chama ili wanufaike wao.
Wako tayari kukiuza chama gani wakati mnasema mmewafukuza na siyo wanachama na viongozi wenu Tena?
Makamanda mnafeli wapi?
 
Ndugaye anawadanganya sana
Mbowe anakudanganya Sana, mwambie atoe maamuzi ya rufaa ya Mdee na wenzake.
Unafikiri Mbowe mjinga kukaa kimya? Nyumbu hamjielewi mwenyekiti, katibu wanapiga ruzuku wamekaa kimya kuwaacha mpambane kwenye keyboard.
 
Hongera kwa Chadema kwa wabunge wao kuwa wenyeviti wa kamati.
 
Upo sahihi sana lkn naye pia ajue kuwa kila mtenda mabaya kwa mwenzake malipo yake yapo kwa muumba wetu.

Maaana mbele ya Mungu sisi binadamu wote haki yetu ipo sawa kabisa.
Ingekuwa mahakama ndio imekaa kimya kuhusu rufaa ya wanachadema saa hii mngekuwa mnaparurana kuona mnaonewa. Ila kwa kuwa aliyekaa kimya kuhusu rufaa ya wanachadema ni mwenyekiti na hiyo haina shida maana akili zote anazo yeye.
 
Kundi la wanachama 19 maarufu kama ‘covid 19‘ walioomba ubunge wa Viti Maalumu kupitia CHADEMA walifukuzwa uanachama na Kamati Kuu na sasa wanasubiri rufaa yao waliyokata kwenye Baraza Kuu la chama hicho.

Unapokata rufaa maana yake unataka haki zako unazodhani zimeporwa zirejeshwe, lkn unapoendelea kuzitumia hizo haki kabla ya rufaa yako kusikilizwa maana yake unakiuka masharti ya rufaa kwa lugha nyingine unakidharau au hukiamini chombo unachotaka kikusikilize.

Kitendo cha kina Mdee na wenzake kukubali teuzi mbalimbali za bunge kwa jina la CHADEMA ni dharau kwa Baraza Kuu la CHADEMA, na kitaathiri sana maamuzi ya baraza juu ya rufaa yao.
Inashangaza jinsi spika anavyovunja sheria za nchi mchana kweupe kwa kuwateua kuongoza kamati za bunge watu ambao uanachama wao haujathibitishwa na wana kesi mahakamani ikisubiri maamuzi, huku ni kudharau mahakama.
 
Ingekuwa mahakama ndio imekaa kimya kuhusu rufaa ya wanachadema saa hii mngekuwa mnaparurana kuona mnaonewa. Ila kwa kuwa aliyekaa kimya kuhusu rufaa ya wanachadema ni mwenyekiti na hiyo haina shida maana akili zote anazo yeye.
Kama akili zenu woote mataga wa lumumba mlivyo zikabidhi kwa Jiwe
 
Hatuwezi kufukuza ugali mkuu, hujuikwamba wao ndio chanzo pekee cha ruzuku katika chama?

Ndugu, historia inaonyesha Ugali haujawahi kuwa na mbadala.
Rufaa yao itasikilizwa wakati kikao cha kamati kuu kitapokaa mwaka 2024.

Kwa sasa wacha RUZUKU iingie kwanza, na pesa hiyo ndio chama kitaitumia kugharimia kikao cha kamati kuu.
 
Kundi la wanachama 19 maarufu kama ‘covid 19‘ walioomba ubunge wa Viti Maalumu kupitia CHADEMA walifukuzwa uanachama na Kamati Kuu na sasa wanasubiri rufaa yao waliyokata kwenye Baraza Kuu la chama hicho.

Unapokata rufaa maana yake unataka haki zako unazodhani zimeporwa zirejeshwe, lkn unapoendelea kuzitumia hizo haki kabla ya rufaa yako kusikilizwa maana yake unakiuka masharti ya rufaa kwa lugha nyingine unakidharau au hukiamini chombo unachotaka kikusikilize.

Kitendo cha kina Mdee na wenzake kukubali teuzi mbalimbali za bunge kwa jina la CHADEMA ni dharau kwa Baraza Kuu la CHADEMA, na kitaathiri sana maamuzi ya baraza juu ya rufaa yao.
Baraza Kuu Chadema WAFUKUZENI WASALITI HAO
 
Halafu na wewe unaweza kuwa ni graduate eti!
Madokta wa Kitanzania ni wa kipekee duniani. Huyu naye anaona ameongea la maana akitaka kuaminisha watu ruzuku za vyama zinategemea Wabunge wa viti maalum pia.
 
Tupe kanuni zinzoongoza masharti ya rufaa za kamati kuu ya CHADEMA!
Si tumeambiwa hamna CORONA? ati maombi yamesaidia? Yaani mungu aache kusikia dua za waroma wa Italian asikilize za wa Roma wa Chato? Kuwa mjinga ni mzigo kabisa
Hujui hao wa huko nimawakala wa mpinga kristo, na ndio waleta chapa ya mnyama?? Soma unabii wa danieli na ufunuo wa yohana
 
Kuna wamama hapo Kama akina tendega nilikuwa nawaheshimu Kumbe ni takataka Kama takataka zingine tu
 
Back
Top Bottom