KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Mi nadhani ni yule Huihuihui wa Bulicheka na Lizabeta!Una maanisha huyu Hui Hui?
Achana nae mkuu, mpuuze tu.Mo siyo bilionea,Mali siyo zake, uelewa wako ukoje!?..Mimi sikusema Mimi tajiri
Ukimuita mjinga atasema umemuonea.Hizi mbona ni pumba tu!!
Mbona kinyonge mkuuKula like...
HahahahaMo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba SC yako.
Haya sasa Mtu uliyekuwa Ukimuamini tena kwa 100% Kaacha Kukufolo katika Mitandao yake na Kumfolo Adui yako na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na nina Taarifa ninazoendelea Kuzithibitisha kuwa huenda muda wowote Barbara Gonzalez atahamia Yanga SC.
Kitendo ambacho GENTAMYCINE nasema kitaendelea Kuiumiza Simba SC hasa kwa Mambo yake Kujulikana kama ambavyo aliyekuwa Msemaji Wetu Haji Manara alivyohamia tu Yanga SC amekuwa Mwiba mgumu Kwetu kwani kawapa Yanga SC Siri zote za Simba SC walizozitumia vyema katika Kutuangamiza Kimchezo na Kimafanikio.
Hiyo ndio tabia ya kike hatupaswi shangaa Leo kaolewa mlango huu jtatu kaolewa na baba MTU kbs Ila hivo hatakiwi mwanaume kufanyaMo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba SC yako.
Haya sasa Mtu uliyekuwa Ukimuamini tena kwa 100% Kaacha Kukufolo katika Mitandao yake na Kumfolo Adui yako na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na nina Taarifa ninazoendelea Kuzithibitisha kuwa huenda muda wowote Barbara Gonzalez atahamia Yanga SC.
Kitendo ambacho GENTAMYCINE nasema kitaendelea Kuiumiza Simba SC hasa kwa Mambo yake Kujulikana kama ambavyo aliyekuwa Msemaji Wetu Haji Manara alivyohamia tu Yanga SC amekuwa Mwiba mgumu Kwetu kwani kawapa Yanga SC Siri zote za Simba SC walizozitumia vyema katika Kutuangamiza Kimchezo na Kimafanikio.
Soma hiyooo[emoji23][emoji23] hii code inahitaji akili kukuelewa [emoji122][emoji122][emoji122]
Katika ubora wakoAcha ubishi Barbara Gonzalez na Mo Dewji sasa wana Bifu Kali na Watu wa Mpira tulijua Siku nyingi kuwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said alikuwa akitoka na Bibie CEO wa zamani labda ulibakia Wewe tu pekee uliyekuwa hujalijua hili.
Ukiona GENTAMYCINE nakuja na Taarifa hapa jua ya kwamba kwa 100% ni sahihi kwani moja ya Silaha yangu Kubwa ni kuwa na Utajiri wa Vyanzo vyangu vya Taarifa tena vyenye uhakika na vilivyoko Jikoni kabisa.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Cc: Arovera, PakiJinja
Wamejisahaulisha kifo cha mende ila wajue hata wakikaa juu mwanaume anatokea hukohuko chini anapiga show mpaka mama anapoteza uelekeo.Aliyebuni kifo cha mende alikuwa na akili sana, hii za kuwaweka wanawake juu ndo zinaharibu mambo kabisa. Wakiwa juu wanasahau kuwa kuna watu wako chini yao wao wanaona ni takataka.
Kwahiyo Yale mafumbo anakuwa anamlenga Mo? Ila wote wahindi hao wanajuana ugombi wa ndugu msiingilie.Mo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba SC yako.
Haya sasa Mtu uliyekuwa Ukimuamini tena kwa 100% Kaacha Kukufolo katika Mitandao yake na Kumfolo Adui yako na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na nina Taarifa ninazoendelea Kuzithibitisha kuwa huenda muda wowote Barbara Gonzalez atahamia Yanga SC.
Kitendo ambacho GENTAMYCINE nasema kitaendelea Kuiumiza Simba SC hasa kwa Mambo yake Kujulikana kama ambavyo aliyekuwa Msemaji Wetu Haji Manara alivyohamia tu Yanga SC amekuwa Mwiba mgumu Kwetu kwani kawapa Yanga SC Siri zote za Simba SC walizozitumia vyema katika Kutuangamiza Kimchezo na Kimafanikio.
Kila siku nasema humu ..Mo tapeli...
Mo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba SC yako.
Haya sasa Mtu uliyekuwa Ukimuamini tena kwa 100% Kaacha Kukufolo katika Mitandao yake na Kumfolo Adui yako na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na nina Taarifa ninazoendelea Kuzithibitisha kuwa huenda muda wowote Barbara Gonzalez atahamia Yanga SC.
Kitendo ambacho GENTAMYCINE nasema kitaendelea Kuiumiza Simba SC hasa kwa Mambo yake Kujulikana kama ambavyo aliyekuwa Msemaji Wetu Haji Manara alivyohamia tu Yanga SC amekuwa Mwiba mgumu Kwetu kwani kawapa Yanga SC Siri zote za Simba SC walizozitumia vyema katika Kutuangamiza Kimchezo na Kimafanikio.
Barbra akienda Yanga atakuwa amejiaibisha yeye binafsi na siamini kama anaweza kufanya hivyo. Na naahidi, akienda Yanga naacha kufuatilia michezo humu JF! Nimekaa hapa nakunywa K Vant!Mo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba SC yako.
Haya sasa Mtu uliyekuwa Ukimuamini tena kwa 100% Kaacha Kukufolo katika Mitandao yake na Kumfolo Adui yako na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na nina Taarifa ninazoendelea Kuzithibitisha kuwa huenda muda wowote Barbara Gonzalez atahamia Yanga SC.
Kitendo ambacho GENTAMYCINE nasema kitaendelea Kuiumiza Simba SC hasa kwa Mambo yake Kujulikana kama ambavyo aliyekuwa Msemaji Wetu Haji Manara alivyohamia tu Yanga SC amekuwa Mwiba mgumu Kwetu kwani kawapa Yanga SC Siri zote za Simba SC walizozitumia vyema katika Kutuangamiza Kimchezo na Kimafanikio.
Preziddd,,,au nitamalizia keshoWanawake ndivyo walivyo, huoni huyu wa kwetu alichotufanyia au hujamjua ninayemwongelea