mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Sawa Mangungu,,Alikutapeli nini? Kama utapeli ni njia mojawapo ya kufikia mafanikio aliyonayo Mo bora nawe uwe tapeli ili utajirike.
Huwa mnapenda kuhangaika na watu waliombele maili nyingi sijui kwanini.
Tutafuteni maisha tuache kujifariji.
Ila Mo Ni TAPELI kweli.
Haiwezekani Manara amtuhumu na Babra pia amtuhumu,,
Mo DEWJI anashida mahali lakini tajiri ukimgusa wanaibuka akina Mangungu kutetea.