Kitendo cha aliyekuwa CEO wa Simba SC Barbara kum 'Unfollow' Tajiri Mo Dewji na Kumfollow Rais wa Yanga Injinia Hersi sasa Moto utawaka

Kitendo cha aliyekuwa CEO wa Simba SC Barbara kum 'Unfollow' Tajiri Mo Dewji na Kumfollow Rais wa Yanga Injinia Hersi sasa Moto utawaka

Alikutapeli nini? Kama utapeli ni njia mojawapo ya kufikia mafanikio aliyonayo Mo bora nawe uwe tapeli ili utajirike.

Huwa mnapenda kuhangaika na watu waliombele maili nyingi sijui kwanini.

Tutafuteni maisha tuache kujifariji.
Sawa Mangungu,,

Ila Mo Ni TAPELI kweli.

Haiwezekani Manara amtuhumu na Babra pia amtuhumu,,

Mo DEWJI anashida mahali lakini tajiri ukimgusa wanaibuka akina Mangungu kutetea.
 
Mo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba SC yako.

Haya sasa Mtu uliyekuwa Ukimuamini tena kwa 100% Kaacha Kukufolo katika Mitandao yake na Kumfolo Adui yako na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na nina Taarifa ninazoendelea Kuzithibitisha kuwa huenda muda wowote Barbara Gonzalez atahamia Yanga SC.

Kitendo ambacho GENTAMYCINE nasema kitaendelea Kuiumiza Simba SC hasa kwa Mambo yake Kujulikana kama ambavyo aliyekuwa Msemaji Wetu Haji Manara alivyohamia tu Yanga SC amekuwa Mwiba mgumu Kwetu kwani kawapa Yanga SC Siri zote za Simba SC walizozitumia vyema katika Kutuangamiza Kimchezo na Kimafanikio.
Mwamedi na Hersi wana uadui gani? hebu tujuze.
 
Mwaka jana hapa hapa JamiiForums kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE nilianzisha Uzi ( tena kwa Kujiamini kabisa ) nilisema CEO wa zamani wa Simba SC Barbara Gonzalez ana Mahusiano ya Kibaiolojia na Rais wa Yanga SC Injina Hersi Said na kwamba huwa wanakutana Nje ya Tanzania ( hasa Ulaya ) na kwamba Yanga SC wanajua Siri nyingi za Simba kwakuwa kwa Mahaba Barbara alikuwa akiyamwaga yote kwa Rais wa Yanga SC.

Narudia huo Uzi wangu uko hapa JamiiForums na kwa wale Visokolokwinyo ( Wapuuzi ) walionishangaa, walionibishis na Kunitukana mno wautafute kisha bila Aibu waje hapa Kuniomba Radhi.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!

Cc: Arovera, PakiJinja
Hahahahaha!!! nakumbuza nyuzi zako za 'kukisanua' ulikuwa unashusha episodes kihasira baada ya kipigo kutuka kwa Orlando pirates.
 
Simba taasisi, watu wanaingia na kutoka, tangu ilpoasisiwa wameingia watu wengi sana na kutoka, viongozi na wachezaji! Simba ipo pale pale na itaendelea kuwepo!
Taasisi imara zinaongozwa Kwa utaratibu na mifumo maulumu- na sio kumtegemea mtu au watu!
 
kosa la kwanza ni la mo kutuletea watu wa ajabu,
huyu dada alifanya vizuri kipindi marehemu Hanspope Yuko hai lakini Hana kitu anachojua kwenye mpira. Hata sajili nyingi alikuwa anafanya kwa kubahatisha muda mwingi alitumia kujibrand binafsi na baada ya kuondoka Simba ameona attention yote aliyokuwa akipewa haipo Tena ndio maana anatafuta pa kitokea.
 
Uzuri Mtani ulikua unawaandikia hapa mambo mengi hawakuelewa hadi maneno kubaiolojiana ulilisema hawakukusikia walihisi ni maneno ya kijiweni haya wakenya wanasema mambo imechemka, ulipotaja virusi wa timu yenu walijikausha yako wapi sasa
Pia wanasema hii imekwenda
 
Mkuu uyo Babra ahamie yanga Kama nani? Ahamie kama shabiki, mwanachama,kiongozi au kama nani pale yanga?

Babra sio mwajiriwa tena wa simba, anayo maisha yake uko aliko kwaiyo sioni kama kumfolo Eng. na kutomfolo Mo kama kuna impact yoyote ile kwa simba na Mo mwenyewe.

Hiyo vita ni mambo yao binafsi wanajuana wao wamedhulumiana nini wayajenge wayamalize uko na sidhani kama babra ana impact yoyote kwa sasa kwenye mpira wa bongo apambane na hali yake
Mambo ya jikoni ya kukata nyanya na vitunguu tuwaachie wenyewe muda mwingne jenta anahangaika na vitu ambavyo havina umuhimu
 
Mo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba SC yako.

Haya sasa Mtu uliyekuwa Ukimuamini tena kwa 100% Kaacha Kukufolo katika Mitandao yake na Kumfolo Adui yako na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na nina Taarifa ninazoendelea Kuzithibitisha kuwa huenda muda wowote Barbara Gonzalez atahamia Yanga SC.

Kitendo ambacho GENTAMYCINE nasema kitaendelea Kuiumiza Simba SC hasa kwa Mambo yake Kujulikana kama ambavyo aliyekuwa Msemaji Wetu Haji Manara alivyohamia tu Yanga SC amekuwa Mwiba mgumu Kwetu kwani kawapa Yanga SC Siri zote za Simba SC walizozitumia vyema katika Kutuangamiza Kimchezo na Kimafanikio.
Nani aliyekuambia Hersi na Mo ni maadui?
 
Back
Top Bottom