New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Na iwe hivyoUkweli uko wazi Babra kutoka Simba kwa position ya CEO aliyokuwa nayo na labda akahamia Yanga hata akawa mshabiki tu kuna athari kubwa kwa Simba, huyu mdada anajua Siri zote za Simba na akiamua kuihujumu timu akavujisha Siri kwa Yanga atafanikiwa pakubwa! Mf akimtaja mganga wa Simba alieko Pemba au marefa wanaopewa bahasha na Simba au wachezaji wenye njaa!
Simba wote kasoro Rage tu ni mbumbumbu huwa hawaoni janga mpaka msimu ukiisha hawana hata kombe la kuku ndo wanashtuka!
Yanga ni kidume kwa sasa kwa soka la bongo, daima mbele , mpira unapigwa dimbani na fitna za nje ya uwanja grade one! Ukibahatika kuongea na Eng Hersi ofisini kwake kama Mimi nilivyoongea nae one day utajionea jinsi alivyo genius! Huyu Hersi hakuna Rais wa Klabu hapa bongo atamfikia kwa akili ya kuendesha klabu ya mpira, ni mzungu mweusi! Hana chawa wa kumharibia plans zake. Hazunguki, hataki Siasa, ni logic tu ukiongea nae! Ataifikisha Yanga mbali sana!
Mpaka makolo yakacheze championship huko na kina JKT mlale