Kitendo cha aliyekuwa CEO wa Simba SC Barbara kum 'Unfollow' Tajiri Mo Dewji na Kumfollow Rais wa Yanga Injinia Hersi sasa Moto utawaka

Kitendo cha aliyekuwa CEO wa Simba SC Barbara kum 'Unfollow' Tajiri Mo Dewji na Kumfollow Rais wa Yanga Injinia Hersi sasa Moto utawaka

Ukweli uko wazi Babra kutoka Simba kwa position ya CEO aliyokuwa nayo na labda akahamia Yanga hata akawa mshabiki tu kuna athari kubwa kwa Simba, huyu mdada anajua Siri zote za Simba na akiamua kuihujumu timu akavujisha Siri kwa Yanga atafanikiwa pakubwa! Mf akimtaja mganga wa Simba alieko Pemba au marefa wanaopewa bahasha na Simba au wachezaji wenye njaa!

Simba wote kasoro Rage tu ni mbumbumbu huwa hawaoni janga mpaka msimu ukiisha hawana hata kombe la kuku ndo wanashtuka!

Yanga ni kidume kwa sasa kwa soka la bongo, daima mbele , mpira unapigwa dimbani na fitna za nje ya uwanja grade one! Ukibahatika kuongea na Eng Hersi ofisini kwake kama Mimi nilivyoongea nae one day utajionea jinsi alivyo genius! Huyu Hersi hakuna Rais wa Klabu hapa bongo atamfikia kwa akili ya kuendesha klabu ya mpira, ni mzungu mweusi! Hana chawa wa kumharibia plans zake. Hazunguki, hataki Siasa, ni logic tu ukiongea nae! Ataifikisha Yanga mbali sana!
Na iwe hivyo
Mpaka makolo yakacheze championship huko na kina JKT mlale
 
Aliyekwambia Mo na Hersi maadui ni nani?

Unakwama sometimes
Ni kiswahili tu kimemshinda,hajui kati ya kutofautisha Uadui na Upinzani
Tena upinzani wao ni wa kiushindani kibiashara kulingana na uwekezaji wao.na pia wameongeza chachu na ladha kwenye soka
 
Alikutapeli nini? Kama utapeli ni njia mojawapo ya kufikia mafanikio aliyonayo Mo bora nawe uwe tapeli ili utajirike.

Huwa mnapenda kuhangaika na watu waliombele maili nyingi sijui kwanini.

Tutafuteni maisha tuache kujifariji.
Ndiyo tabia zetu hizo waswahili unaweza kuta mtu anakusema kiwango ambacho utadhani anakufahamu kuliko unavyojifahamu.
 
Uzuri Mtani ulikua unawaandikia hapa mambo mengi hawakuelewa hadi maneno kubaiolojiana ulilisema hawakukusikia walihisi ni maneno ya kijiweni haya wakenya wanasema mambo imechemka, ulipotaja virusi wa timu yenu walijikausha yako wapi sasa
Popoma huwa yupo vizuri sana, sema watu huwa wanashindwa kwenda naye matokeo yake vingi vinawapita.
Uwasilishaji wake wa taarifa ni style aliyoichagua, sasa watu wakidhani ni chuki au Umbeya ndiyo hapo huwa inakula kwao
 
Kwani hamjui kama Babra kazalishwa na Eng?
Mwaka jana hapa hapa JamiiForums kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE nilianzisha Uzi ( tena kwa Kujiamini kabisa ) nilisema CEO wa zamani wa Simba SC Barbara Gonzalez ana Mahusiano ya Kibaiolojia na Rais wa Yanga SC Injina Hersi Said na kwamba huwa wanakutana Nje ya Tanzania ( hasa Ulaya ) na kwamba Yanga SC wanajua Siri nyingi za Simba kwakuwa kwa Mahaba Barbara alikuwa akiyamwaga yote kwa Rais wa Yanga SC.

Narudia huo Uzi wangu uko hapa JamiiForums na kwa wale Visokolokwinyo ( Wapuuzi ) walionishangaa, walionibishis na Kunitukana mno wautafute kisha bila Aibu waje hapa Kuniomba Radhi.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!

Cc: Arovera, PakiJinja
 
Kama ni Twitter ila akaunti ya Barbra wengi wanasema imedukuliwa na wahuni na ukitazama tweet za hivi sasa utaona kama vile ni kuna watu wawili wanapost
Acha ubishi Barbara Gonzalez na Mo Dewji sasa wana Bifu Kali na Watu wa Mpira tulijua Siku nyingi kuwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said alikuwa akitoka na Bibie CEO wa zamani labda ulibakia Wewe tu pekee uliyekuwa hujalijua hili.

Ukiona GENTAMYCINE nakuja na Taarifa hapa jua ya kwamba kwa 100% ni sahihi kwani moja ya Silaha yangu Kubwa ni kuwa na Utajiri wa Vyanzo vyangu vya Taarifa tena vyenye uhakika na vilivyoko Jikoni kabisa.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!

Cc: Arovera, PakiJinja
 
Halafu wewe Genta kuna muda naanza kukuelewa kuna vitu uliandika huko nyuma vinaanza kutumia.
Endeleeni tu Kunidharau na kunichukulia Poa hapa JamiiForums ila mngejua kuwa Mimi ni Tunu / Shani ya Kipekee Kwenu hapa ( Kihabari na Kitaarifa za Ndani ) mngenithamini na Kunishukuru zaidi.

Cc: Arovera, PakiJinja
 
Sipati picha ya ukewenza Takadini na Barb.
JamiiForums-1290500738.jpg
 
Kwan ye Nan.
Aliyekuwa Hawara yake Mkuu Mwekezaji wako hadi kutaka Kuharibu Ndoa yake na Familia ya Tajiri ( Kwao Masaki kwa Mzee Ghullum ) Mwekezaji wako Klabuni haitaki Kumsikia aliyekuwa CEO wako na hadi leo Mke wa Tajiri ana Bifu nae Kali sana.

Nikuongezse nyingine au niishie hapa?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Back
Top Bottom