Kitendo cha Bunge kuendelea kuwakumbatia wabunge waliovuliwa uanachama wao na Chadema, kinaonyesha udhalilishaji wa mhimili wa Mahakama?

Maajabu ni kitu cha kawaida kwa Tz.
 
Spika bado anawabembeleza wakubali kufukuzwa bungeni ili yeye asiaibike lkn wao hawatoi ushirikiano.
 
labda bado hajapata nakala ya hukumu…………………..
 
Hii ndio shida ya mihimili mikubwa ya taifa kuongozwa na wanawake, hawajiamini, wanaogopa hata kufuata jambo lililowazi kisheria, tusidanganyane taifa letu kwa sasa halina kiongozi.

Simply kinachoendelea sasa hivi ni Tulia kusubiri kupewa go ahead toka kwa Samia ambaye naye hata hajui nini cha kufanya.
 
Tuna hali mbaya, sijawahi kuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…