econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe ndio aliyetoa tangazo na agizo la kwamba CHADEMA ikashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Pamoja na madhaifu yaliyokuwepo ila bado alikioeleka chama kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa. Mwisho wa siku chama kikapata Asilimia 0.78 na CCM kikapata Asilimia 99.
Nikashangaa mwenyekiti analazimisha chama kushiriki huku vitendo viovu vikifanyika. Wagombea kuondolewa na vitendo kama hivyo. Mwenyekiti akakaa kimya mpaka mwisho na CCM ikavina ushindi batili.
Kitendo Cha Mbowe kukuingiza chama kwenye uchaguzi na baadae kuja na porojo za "tulishiriki uchaguzi ili kujua panapovuja" ni ulaghai mkubwa Sana.
Narudia Tena CCM kupata Asilimia 99 hata kama za wizi ni tusi kibwa Sana kwa CHADEMA, inaonesha mwenyekiti hawezi kupambana na system mbovu ya uchaguzi au amekubali kuingia kwenye mfumo wa serikali ya CCM .
Sina Imani na Mbowe.