loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,887
- 6,657
Djed Spence mchezaji mweusi wa Uingereza na muislam wa kwanza kuichezea timu ya taifa ya Uingereza hakuonesha kitendo cha kiungwana kabisa kwa kukataa kumsalimia Thomas Partey Beki kiungo wa Ghana jana ambapo Uingereza na Ghana zilikutana kwenye mechi ya makundi kombe la dunia.
Kitendo hicho cha aibu kimehuzunisha wengi na kupelekea watu wengi kukasirika.
Huwezi ukamfinyia kaka yako hivi mweusi mwenzako hadharani.
Pili wote ni waislamu waliosilimu na waislamu wote ni ndugu.
Hata kama Thomas Partey ana kesi ya kubaka lakini bado ni mtuhumiwa kesi yake ipo mahakamani.
Jamaa kusema kweli ametuaibisha sana watu weusi.
Wanajamvi hii kweli ni sawa?
hydroxo
adriz de mbusii