Nchi ina matatizo kibao wewe umevuta zako Mabange na kuja na mada kama hii ?Djed Spence mchezaji mweusi wa Uingereza na muislam wa kwanza kuichezea timu ya taifa ya Uingereza hakuonesha kitendo cha kiungwana kabisa kwa kukataa kumsalimia Thomas Partey Beki kiungo wa Ghana jana ambapo Uingereza na Ghana zilikutana kwenye mechi ya makundi kombe la dunia.
Kitendo hicho cha aibu kimehuzunisha wengi na kupelekea watu wengi kukasirika.
Huwezi ukamfinyia kaka yako hivi mweusi mwenzako hadharani.
Pili wote ni waislamu waliosilimu na waislamu wote ni ndugu.
Hata kama Thomas Partey ana kesi ya kubaka lakini bado ni mtuhumiwa kesi yake ipo mahakamani.
Jamaa kusema kweli ametuaibisha sana watu weusi.
Wanajamvi hii kweli ni sawa?
View attachment 3614779
hydroxo
adriz de mbusii
Kuwa na heshima Nyabumbu mimi ni degree holder now , au mpaka nikuonyeshe cheti full ?Hivi nyie mnaruhusiwa kuingia na simu darasani?
NYAMBAFF
this man is useless as a baby donkeyNchi ina matatizo kibao wewe umevuta zako Mabange na kuja na mada kama hii ?
You are Pathetic Scumbabag dujeumsaeng de Nyabumbu
Siongei sana , nimegraduate mwaka huu cheti hiko, nimeCrop kuficha baadhi ya details ili nisije kujulikana .Degree holder mafii yako?
Nyau wewee!
Ni linki gani hiyo umedownload πππSiongei sana , nimegraduate mwaka huu cheti hiko, nimeCrop kuficha baadhi ya details ili nisije kujulikana .View attachment 3614790
Kwani nchi ikiwa na matatizo kibao ndio watu hawaruhusiwi kuongelea mambo tofauti na matatizo hayo?Nchi ina matatizo kibao wewe umevuta zako Mabange na kuja na mada kama hii ?
You are Pathetic Scumbabag dujeumsaeng de Nyabumbu
Nitakuweka ignore list kama Zamani maana unaleta ujinga na wivu kisa umeishia darasa la 7 maporini huko .Ni linki gani hiyo umedownload πππ
Punguza utoto sasa kuna haja gani ya kupiga hadi picha kujiprove kwa hizi takatakaSiongei sana , nimegraduate mwaka huu cheti hiko, nimeCrop kuficha baadhi ya details ili nisije kujulikana .View attachment 3614790
Doktaria Haa Mufti WetuKuwa na heshima Nyabumbu mimi ni degree holder now , au mpaka nikuonyeshe cheti full ?
Niukweli mkuu ana digree na tupo nae kwa mchina hapa anaendesha picup ya kubeba samp ya udogo wa maabara kwenye mrad wa barabara ya njombe iton lusitu bos wake ana cetficate yana kunamadogo.wa la7 wanamzid mshaaraDegree holder mafii yako?
Nyau wewee!