Kitendo cha IGP Sirro kutoa hukumu ya Ugaidi wa Mbowe huku kesi ikiwa Mahakamani ni Uhalifu. Napendekeza kesi hiyo ifutwe haraka

Jamii forum imekua ya ajabu sana siku hizi! Hivi majibu na mijadala inakua hivi....aaah matusi mengi zaidi ya hoja.
 
heeee inamaana hata alivyosema mkamuulize DJ we bintihujasikia? utakuwa na matatizo wewe
Nawaomba Mods mniwekee huyu kapuku kwenye ignore list , vinginevyo amani itaharibika
 
Jamii forum imekua ya ajabu sana siku hizi! Hivi majibu na mijadala inakua hivi....aaah matusi mengi zaidi ya hoja.
wala usijali mkuu waache waendelee kutukana , Njia pekee ya hawa masikini kujiliwaza ni matusi na uchawi
 
Taratibu ni kuulize...Hivi mtu anaedai haki yake..Katiba siku hizi ni kuleta fujo?
Hivi kumbe ata Mwl.Nyerere alikua anavuruga amani kwa kuwapinga Makaburu!?
Kwani mama yenu mpendwa alisemaje?ukimpinga mama unapigwa laana kama hiyo.DJ awe na adabu asifikiri yupo Casino na libenzi lake na Konyagi.
 
haifutwi, hadi ndoo ijae kule segerea. na muache kiburi.
 
Na wewe pia unatia hukumu. Tuwache mahakama wate uwamuzi. Kesi hiko mahakamani anatakiwa kujadili kwa sasa. Au tunataka kumshawishi mahakama
 
Taratibu ni kuulize...Hivi mtu anaedai haki yake..Katiba siku hizi ni kuleta fujo?
Hivi kumbe ata Mwl.Nyerere alikua anavuruga amani kwa kuwapinga Makaburu!?
HIVI NYIE WATU mnaelewa mashtaka aliyoshtakiwa nayo mbowe? siyo ya katiba ni ya ugaidi aliokuwa anafanya sasa nyie mnalazimisha ni ya katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…