n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Thubutu, hakuna nyumbu anayeweza kujitoa mhanga. Wote wanaandamania nyuma ya keyboard tu.unapambania kwenye keyboard ? nenda front tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutu, hakuna nyumbu anayeweza kujitoa mhanga. Wote wanaandamania nyuma ya keyboard tu.unapambania kwenye keyboard ? nenda front tuone
Watayanyoosha mpaka makengeza safari hii.bila shaka una masikio mabovu sana !
Nawaomba Mods mniwekee huyu kapuku kwenye ignore list , vinginevyo amani itaharibikaheeee inamaana hata alivyosema mkamuulize DJ we bintihujasikia? utakuwa na matatizo wewe
wala usijali mkuu waache waendelee kutukana , Njia pekee ya hawa masikini kujiliwaza ni matusi na uchawiJamii forum imekua ya ajabu sana siku hizi! Hivi majibu na mijadala inakua hivi....aaah matusi mengi zaidi ya hoja.
Robot zimekua nyingiWatayanyoosha mpaka makengeza safari hii
wewe ndiyo kapuku na genge lako la kihuni na gaidi wenu mkuu mboweNawaomba Mods mniwekee huyu kapuku kwenye ignore list , vinginevyo amani itaharibika
Kuvunja amani ni kawaida yenu ndiyo maana mnanyooshwa.Nawaomba Mods mniwekee huyu kapuku kwenye ignore list , vinginevyo amani itaharibika
IGP kuzungumzia jambo lilipo mahakamani amelivua nguo jeshi la polisi..wala usijali mkuu
Endeleeni kukusanya vielelezoIGP kuzungumzia jambo lilipo mahakamani amelivua nguo jeshi la polisi..
Huyu mwenye IGP ipo siku atarudisha kiwanja cha watu huko SHY alipojenga Hotel yake SHYPARK..siku hiyo yaja tu.
Taratibu ni kuulize...Hivi mtu anaedai haki yake..Katiba siku hizi ni kuleta fujo?Kuvunja amani ni kawaida yenu ndiyo maana mnanyooshwa.
Wote bila shaka mmemsikia Mkuu wa jeshi la Polisi wa Tanzania Mtukufu IGP Simon Sirro , kauli yake hii ni sawa na kulazimisha mahakama kutenda ayanenayo.
Sirro anafahamu kwamba Sheria inakataza yaliyo Mahakamani kujadiliwa vijiweni , na hasa kama anayejadili ana maslahi kwenye kesi iliyo mahakamani , kama yeye Sirro alivyo na maslahi binafsi kwenye kesi hii , lakini ameamua kupuuza ili kumrahisishia maamuzi hakimu wao wanayemtumia kumkomoa Mbowe na Chadema.
Sirro anapaswa kuleta ushahidi wake Mahakamani , badala ya kupiga filimbi mitaani , OMARI MAHITA alikuwa IGP Ambaye rekodi yake ya ukatili haijavunjwa hadi leo , lakini baada ya kustaafu ALISHITAKIWA MAHAKAMANI KWA KESI YA KUMBAKA HOUSE GIRL WAKE MWENYEWE, NA KUMPACHIKA MIMBA KISHA KURUKA MATUNZO YA MTOTO , wala ccm aliyoipigania haikumuokoa kwenye aibu ile , nani aliyesahau jambo hili ? Sirro ajifunze kutenda haki ili asije kudhalilika huko mbele, Cheo ni dhamana ya muda mfupi tu .
Pamoja na Omari Mahita kujenga msikiti Morogoro lakini watukufu waislam wamekataa kuutumia ili kuogopa kunajisi udhu wao kwa kuswali kwenye msikiti wa katili aliyeiona ccm ni bora kuliko Allah Subhhannah.
Mwisho napendekeza kesi ya Mbowe ifutiliwe mbali kwa maana ni ya uongo , na IGP Sirro atimuliwe kazi kabla jua halijazama.
Kwani mama yenu mpendwa alisemaje?ukimpinga mama unapigwa laana kama hiyo.DJ awe na adabu asifikiri yupo Casino na libenzi lake na Konyagi.Taratibu ni kuulize...Hivi mtu anaedai haki yake..Katiba siku hizi ni kuleta fujo?
Hivi kumbe ata Mwl.Nyerere alikua anavuruga amani kwa kuwapinga Makaburu!?
haifutwi, hadi ndoo ijae kule segerea. na muache kiburi.Wote bila shaka mmemsikia Mkuu wa jeshi la Polisi wa Tanzania Mtukufu IGP Simon Sirro , kauli yake hii ni sawa na kulazimisha mahakama kutenda ayanenayo.
Sirro anafahamu kwamba Sheria inakataza yaliyo Mahakamani kujadiliwa vijiweni , na hasa kama anayejadili ana maslahi kwenye kesi iliyo mahakamani , kama yeye Sirro alivyo na maslahi binafsi kwenye kesi hii , lakini ameamua kupuuza ili kumrahisishia maamuzi hakimu wao wanayemtumia kumkomoa Mbowe na Chadema.
Sirro anapaswa kuleta ushahidi wake Mahakamani , badala ya kupiga filimbi mitaani , OMARI MAHITA alikuwa IGP Ambaye rekodi yake ya ukatili haijavunjwa hadi leo , lakini baada ya kustaafu ALISHITAKIWA MAHAKAMANI KWA KESI YA KUMBAKA HOUSE GIRL WAKE MWENYEWE, NA KUMPACHIKA MIMBA KISHA KURUKA MATUNZO YA MTOTO , wala ccm aliyoipigania haikumuokoa kwenye aibu ile , nani aliyesahau jambo hili ? Sirro ajifunze kutenda haki ili asije kudhalilika huko mbele, Cheo ni dhamana ya muda mfupi tu .
Pamoja na Omari Mahita kujenga msikiti Morogoro lakini watukufu waislam wamekataa kuutumia ili kuogopa kunajisi udhu wao kwa kuswali kwenye msikiti wa katili aliyeiona ccm ni bora kuliko Allah Subhhannah.
Mwisho napendekeza kesi ya Mbowe ifutiliwe mbali kwa maana ni ya uongo , na IGP Sirro atimuliwe kazi kabla jua halijazama.
Basi unipotezei muda tena...nimekuelewa ulivyoKwani mama yenu mpendwa alisemaje?ukimpinga mama unapigwa laana kama hiyo.DJ awe na adabu asifikiri yupo Casino na libenzi lake na Konyagi.
Tulianza vizuri baada ya magufuli kufa Sasa tunarudi kulekuleHapo ndio uone kuwa hukumu tayari wanayo, hii kupeleka mahakamani ni geresha tu
Na wewe pia unatia hukumu. Tuwache mahakama wate uwamuzi. Kesi hiko mahakamani anatakiwa kujadili kwa sasa. Au tunataka kumshawishi mahakamaWote bila shaka mmemsikia Mkuu wa jeshi la Polisi wa Tanzania Mtukufu IGP Simon Sirro , kauli yake hii ni sawa na kulazimisha mahakama kutenda ayanenayo.
Sirro anafahamu kwamba Sheria inakataza yaliyo Mahakamani kujadiliwa vijiweni , na hasa kama anayejadili ana maslahi kwenye kesi iliyo mahakamani , kama yeye Sirro alivyo na maslahi binafsi kwenye kesi hii , lakini ameamua kupuuza ili kumrahisishia maamuzi hakimu wao wanayemtumia kumkomoa Mbowe na Chadema.
Sirro anapaswa kuleta ushahidi wake Mahakamani , badala ya kupiga filimbi mitaani , OMARI MAHITA alikuwa IGP Ambaye rekodi yake ya ukatili haijavunjwa hadi leo , lakini baada ya kustaafu ALISHITAKIWA MAHAKAMANI KWA KESI YA KUMBAKA HOUSE GIRL WAKE MWENYEWE, NA KUMPACHIKA MIMBA KISHA KURUKA MATUNZO YA MTOTO , wala ccm aliyoipigania haikumuokoa kwenye aibu ile , nani aliyesahau jambo hili ? Sirro ajifunze kutenda haki ili asije kudhalilika huko mbele, Cheo ni dhamana ya muda mfupi tu .
Pamoja na Omari Mahita kujenga msikiti Morogoro lakini watukufu waislam wamekataa kuutumia ili kuogopa kunajisi udhu wao kwa kuswali kwenye msikiti wa katili aliyeiona ccm ni bora kuliko Allah Subhhannah.
Mwisho napendekeza kesi ya Mbowe ifutiliwe mbali kwa maana ni ya uongo , na IGP Sirro atimuliwe kazi kabla jua halijazama.
HIVI NYIE WATU mnaelewa mashtaka aliyoshtakiwa nayo mbowe? siyo ya katiba ni ya ugaidi aliokuwa anafanya sasa nyie mnalazimisha ni ya katibaTaratibu ni kuulize...Hivi mtu anaedai haki yake..Katiba siku hizi ni kuleta fujo?
Hivi kumbe ata Mwl.Nyerere alikua anavuruga amani kwa kuwapinga Makaburu!?
Ahaaaahaa,bando umelipwa na Shaka Hamdu leo unatangaza ni lako !