Mimi bado naona mahakama zimefumbua macho kutoendeshwa tena. Mungu bariki kla mmoja anajua alichofanyiwa Mbowe. Dhamira za majaji zitawasuta kwa kitu cha wazi namna hiiMy hope is too low Mkuu. Let’s wait and see but taking into consideration of what happened the last 5+ years I am worried about this FAKE case against Mbowe.
😊Tutapambana nao hadi tone la mwisho
Kupambana nyuma ya keyboard!Tutapambana nao hadi tone la mwisho
She will go like mwendazake mbowe atatoka.Wacha Mbowe akae huko mama afanye yake..amini usiamini hii kesi itachukua aka 5-10 kuisha na hatokutwa na hatia.
Wacha kucheza na commander in chief eti kisa ni MWANAMKE [emoji51]
Akili yako unaijua mwenyeweAcha unyumbu.IGP kasema kamuulizeni DJ au muiachie mahakama au unatumia makalio kufikiri,safari hii atakaa ndani mpaka atamkumbuka mwendazake.
We unadhani Mbowe angekuwa ndo raisi angeandika katiba mpya[emoji15]?She will go like mwendazake mbowe atatoka.
Mungu ataingilia Kati hawezi fumbia macho dhuluma za wazi wazi
Trust me Kama amepanga mbowe afie humo gerezani she won't witness him die .
Karma is bitch .
CCM wanadhani wana haki ya kufanya lolote watakalo, Nakuhakikishia Samia atamfuata Magufuli very soon akamkaangie Chips kuzimu,hawa watu ni makatili mno, Tazama Magufuli alishindwa kumuua Tundu Lissu kafa yeye.Wote bila shaka mmemsikia Mkuu wa jeshi la Polisi wa Tanzania Mtukufu IGP Simon Sirro , kauli yake hii ni sawa na kulazimisha mahakama kutenda ayanenayo...
Hakuna mwana CCM mwenye akili Timamu, wapumbavu na wajinga Tanzania hii wanapatikana CCM tuBando langu
Simu yangu,
Halafu unipangia cha kuandika!!
Kama unaumia acheni ugaidi.
Kwanini Anatoa maelezo Kwa waandishi wa Habari badala ya Mahakamani?Wote bila shaka mmemsikia Mkuu wa jeshi la Polisi wa Tanzania Mtukufu IGP Simon Sirro , kauli yake hii ni sawa na kulazimisha mahakama kutenda ayanenayo...
Hatusapoti dhuluma kwa namna yoyote.We unadhani Mbowe angekuwa ndo raisi angeandika katiba mpya[emoji15]?
Wanasiasa wote wanafiki wanapambana tu kutengeneza tittle zao na familia zao,we imagine who's next president kama mama Samia akimfata Magufuli...
Sio Mbowe,sio Lissu wala Zitto Kabwe,ni Philipo Mpango,hapo ndo sahau kuhusu Mbowe,sahau upinzani
Nahisi una upungufu fulani, nisamehe kama nimekuhisi vibaya lakini kwa maandishi yako nahisi kuna kitu hakiko sawa kwakoWote bila shaka mmemsikia Mkuu wa jeshi la Polisi wa Tanzania Mtukufu IGP Simon Sirro , kauli yake hii ni sawa na kulazimisha mahakama kutenda ayanenayo.
Sirro anafahamu kwamba Sheria inakataza yaliyo Mahakamani kujadiliwa vijiweni , na hasa kama anayejadili ana maslahi kwenye kesi iliyo mahakamani , kama yeye Sirro alivyo na maslahi binafsi kwenye kesi hii , lakini ameamua kupuuza ili kumrahisishia maamuzi hakimu wao wanayemtumia kumkomoa Mbowe na Chadema.
Sirro anapaswa kuleta ushahidi wake Mahakamani , badala ya kupiga filimbi mitaani , OMARI MAHITA alikuwa IGP Ambaye rekodi yake ya ukatili haijavunjwa hadi leo , lakini baada ya kustaafu ALISHITAKIWA MAHAKAMANI KWA KESI YA KUMBAKA HOUSE GIRL WAKE MWENYEWE, NA KUMPACHIKA MIMBA KISHA KURUKA MATUNZO YA MTOTO , wala ccm aliyoipigania haikumuokoa kwenye aibu ile , nani aliyesahau jambo hili ? Sirro ajifunze kutenda haki ili asije kudhalilika huko mbele, Cheo ni dhamana ya muda mfupi tu .
Pamoja na Omari Mahita kujenga msikiti Morogoro lakini watukufu waislam wamekataa kuutumia ili kuogopa kunajisi udhu wao kwa kuswali kwenye msikiti wa katili aliyeiona ccm ni bora kuliko Allah Subhhannah.
Mwisho napendekeza kesi ya Mbowe ifutiliwe mbali kwa maana ni ya uongo , na IGP Sirro atimuliwe kazi kabla jua halijazama.
Tatizo kubwa pia ni mama dikteta tuliye naye siku hizi.Wote bila shaka mmemsikia Mkuu wa jeshi la Polisi wa Tanzania Mtukufu IGP Simon Sirro , kauli yake hii ni sawa na kulazimisha mahakama kutenda ayanenayo.
Sirro anafahamu kwamba Sheria inakataza yaliyo Mahakamani kujadiliwa vijiweni , na hasa kama anayejadili ana maslahi kwenye kesi iliyo mahakamani , kama yeye Sirro alivyo na maslahi binafsi kwenye kesi hii , lakini ameamua kupuuza ili kumrahisishia maamuzi hakimu wao wanayemtumia kumkomoa Mbowe na Chadema.
Sirro anapaswa kuleta ushahidi wake Mahakamani , badala ya kupiga filimbi mitaani , OMARI MAHITA alikuwa IGP Ambaye rekodi yake ya ukatili haijavunjwa hadi leo , lakini baada ya kustaafu ALISHITAKIWA MAHAKAMANI KWA KESI YA KUMBAKA HOUSE GIRL WAKE MWENYEWE, NA KUMPACHIKA MIMBA KISHA KURUKA MATUNZO YA MTOTO , wala ccm aliyoipigania haikumuokoa kwenye aibu ile , nani aliyesahau jambo hili ? Sirro ajifunze kutenda haki ili asije kudhalilika huko mbele, Cheo ni dhamana ya muda mfupi tu .
Pamoja na Omari Mahita kujenga msikiti Morogoro lakini watukufu waislam wamekataa kuutumia ili kuogopa kunajisi udhu wao kwa kuswali kwenye msikiti wa katili aliyeiona ccm ni bora kuliko Allah Subhhannah.
Mwisho napendekeza kesi ya Mbowe ifutiliwe mbali kwa maana ni ya uongo , na IGP Sirro atimuliwe kazi kabla jua halijazama.
Ok...mimi siwezi kusapoti mtu anayelazimisha mkuu wa nchi kufanya vile anavyotaka yeye.Hatusapoti dhuluma kwa namna yoyote.
Elewa happy Kwanza ndio msingi wa haya yote .
Hayo mengine ni dependant variables
Shetani hajawahi kumshinda MunguHuku mitandaoni unajitahidi kupambana,hongera,lakini tambua mnapoteza muda,ushahidi upo this time DJ Mbowe is gone,andaeni mwenyekiti mwingine
Gadaffi hakuwa na IGP , where is He now ?Sirro aliuliza upambane na serikali,wewe ni nani ? Na alisisitiza kuwa hakuna hiyo nafasi.