mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Unapambania JF, huo utabakia kuwa umbea tuTutapambana nao hadi tone la mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapambania JF, huo utabakia kuwa umbea tuTutapambana nao hadi tone la mwisho
Ndo muendelezo, mlimuhukumu Sabaya hilo hamkuliona kwamba mnavunja sheria?Jikite kwenye mada husika
Bibi huyoUnapambania JF, huo utabakia kuwa umbea tu
Wewe ndio wajitoa fahamu na kujifanya huelewi. Hamkuanza leo na mnapokaribia mwisho wenu, mtashindana na kukimbizana sana kuokoteza mashitaka. Katiba mpya haikwepeki.HIVI NYIE WATU mnaelewa mashtaka aliyoshtakiwa nayo mbowe? siyo ya katiba ni ya ugaidi aliokuwa anafanya sasa nyie mnalazimisha ni ya katiba
Mama Samia hana IGP hapo. Ni takataka tupu. Kesi aliyoifungua mwenyewe ameishaiharibu. Jaji anapaswa kuifuta kesi hiyo kwa mstaki kukiuka sheria na kuisemea mtaani huku akijua fika kuwa ni makosa kisheria kwani yeye pia (jeshi la polisi) ni shahidi muhimu. Duh, polisi hakuna tena intelijensia!!!!!!!!Wote bila shaka mmemsikia Mkuu wa jeshi la Polisi wa Tanzania Mtukufu IGP Simon Sirro , kauli yake hii ni sawa na kulazimisha mahakama kutenda ayanenayo.
Sirro anafahamu kwamba Sheria inakataza yaliyo Mahakamani kujadiliwa vijiweni , na hasa kama anayejadili ana maslahi kwenye kesi iliyo mahakamani , kama yeye Sirro alivyo na maslahi binafsi kwenye kesi hii , lakini ameamua kupuuza ili kumrahisishia maamuzi hakimu wao wanayemtumia kumkomoa Mbowe na Chadema.
Sirro anapaswa kuleta ushahidi wake Mahakamani , badala ya kupiga filimbi mitaani , OMARI MAHITA alikuwa IGP Ambaye rekodi yake ya ukatili haijavunjwa hadi leo , lakini baada ya kustaafu ALISHITAKIWA MAHAKAMANI KWA KESI YA KUMBAKA HOUSE GIRL WAKE MWENYEWE, NA KUMPACHIKA MIMBA KISHA KURUKA MATUNZO YA MTOTO , wala ccm aliyoipigania haikumuokoa kwenye aibu ile , nani aliyesahau jambo hili ? Sirro ajifunze kutenda haki ili asije kudhalilika huko mbele, Cheo ni dhamana ya muda mfupi tu .
Pamoja na Omari Mahita kujenga msikiti Morogoro lakini watukufu waislam wamekataa kuutumia ili kuogopa kunajisi udhu wao kwa kuswali kwenye msikiti wa katili aliyeiona ccm ni bora kuliko Allah Subhhannah.
Mwisho napendekeza kesi ya Mbowe ifutiliwe mbali kwa maana ni ya uongo , na IGP Sirro atimuliwe kazi kabla jua halijazama.
Sasa na ww umeandika nn mbona muharo tu kwahiyo unasapot igp kuingilia au kuvuruga ushahidi Kwa maana hiyo akisema kuwa anaushahidi kuwa mbowe ni gaidi niwazi kuwa tayari hukumu yake wanayo mikononi sio sasa hapo nafasi ya mahakama na polisi na mtuhumiwa iko wapiUnajitekenya halafu unalazisha ucheke mwenyewe sasa kesi ya mahita inakujaje sasa hivi mbona hujaizungumzia kesi ya lema naye ana kesi ya kubaka pia yaani jeuri yenu imekwisha sirro kasema mumuulize mshitakiwa mambo hayo aliyouliza awajibu unakuja kuharisha hapa ooo mahita alibaka hivi huja maliza kusaini yale makaratasi ya kumtoa mbowe? bado anayea ndoo mwenzio kamsaidie
Hujui kituUnapambania JF, huo utabakia kuwa umbea tu
Siyo watakuja, wanangu wapo na wana akili na IQ kubwa kushinda mlevi Mbowe aliyeanguka kwenye ngazi zake mwenyewe na kusingizia serikali.Pole Ndugu,
Yaonekana dhahiri kuwa umepungukiwa uwezo wa kuelewa hoja iliyopo, matokeo yake washindwa kabisa kujibu wala kujenga hoja imara.
Sijui wanao watakuja kuwa wa sampuli gani.
Ee Mungu twakuomba uwaepushe na kurithi balaa hiyo.
Umezidi!! Mbowe, Mbowe, mbowe! Utadhani uko ktk mchaka-mchaka. CHADEMA hakuna wengine unaoona wanastahili kuzungumziwa, ni Mbowe tu!! Mbowe mwanza, mbowe, shinyanga, mbowe arusha, mbowe mahabusu. Ukaishiwa sijui uliachwa Mwanza? Sasa umeanza, Mbowe Mahabusu, mbowe anaonewa, mbowe bhla! Bhla! Hata Sabaya umemsahau. Do reasoning!! CHADEMA is more than Mbowe!Nyerere angekuwa na mawazo ya kindezi kama yako nchi hii isingepata uhuru milele
😆😆😆 Usichokijua ni hiki , Mbowe ndiye mtoa dira wa nchi hiiUmezidi!! Mbowe, Mbowe, mbowe! Utadhani uko ktk mchaka-mchaka. CHADEMA hakuna wengine unaoona wanastahili kuzungumziwa, ni Mbowe tu!! Mbowe mwanza, mbowe, shinyanga, mbowe arusha, mbowe mahabusu. Ukaishiwa sijui uliachwa Mwanza? Sasa umeanza, Mbowe Mahabusu, mbowe anaonewa, mbowe bhla! Bhla! Hata Sabaya umemsahau. Do reasoning!! CHADEMA is more than Mbowe!
Shoga unatafuta bwana.Mama naskia unakazwa hapo mitaa ya lumumba,bladifakeni
Wewe hapoUnamuuliza nani ?
Hata tukiumia huwezi jua na Wala kuumia na sisi. Mateso haya tunayapokea kwa hiari ambayo inatupa matumaini kwamba hatuna budi kukinywea kikombe ili kuifikia nchi ya ahadi.Bando langu
Simu yangu,
Halafu unipangia cha kuandika!!
Kama unaumia acheni ugaidi.
Kuwa na adabu kidogoMama naskia unakazwa hapo mitaa ya lumumba,bladifakeni
Km kwl ww dira y mknd wk au[emoji38][emoji38][emoji38] Usichokijua ni hiki , Mbowe ndiye mtoa dira wa nchi hii
Pole sana kwa maumivu kijana
Kwahiyo unataka kusema like tukio mlitengeza ....sasa kumbuka hao vijana wameisha kana ilo tukio ata kama wamekua tortured kivile.Kuunda njama na vijana wa waliofukuzwa jeshini nayo ni madai ya katiba sio?
Unajua maana ya Katiba?HIVI NYIE WATU mnaelewa mashtaka aliyoshtakiwa nayo mbowe? siyo ya katiba ni ya ugaidi aliokuwa anafanya sasa nyie mnalazimisha ni ya katiba
Mungu ibariki JFUlikuwa mbele ya muda...kinachotokea huko mahakamani kwasasa ni aibu kwa jeshi la polisi na serikali ya ccm