Kitendo cha IGP Sirro kutoa hukumu ya Ugaidi wa Mbowe huku kesi ikiwa Mahakamani ni Uhalifu. Napendekeza kesi hiyo ifutwe haraka

Haya mabango nimeyaona Leo Mkoani Mwanza na Shinyanga kama sikosei naamini haki itatendeka
 
Tulia gaidi mbowe lipate hudumiwa linapostahili
 
Haya mabango nimeyaona Leo Mkoani Mwanza na Shinyanga kama sikosei naamini haki itatendeka
Kuna choo pia stendi fulani ya mabasi karibu na tundu kabisa la choo wameandika hivyo na mshale wakauchora kuelekea ndani ya hilo tundu...
 
Kwani ninyi mna ushahidi gani kuwa mbowe hawezi kufanya mambo yaho moyo wa mtu ni kichaka
 
 
Bando langu
Simu yangu,
Halafu unipangia cha kuandika!!
Kama unaumia acheni ugaidi.
Askari wakamuuliza Yesu tufanyaje ili tuurithi ufalme wa Mungu? Yesu akajibu akawaambia MSIWASHITAKI WATU KWA UONGO.( YESU alijua ili la kubambikiza watu kesi ni njia inayowapeleka Askari wengi Jehanamu)
 
Ila ya Sabaya ilipojadiliwa kwenye vijiwe bado haijawa VOID sio? Au kisa anaejadiliwa hapa ni Mbowe?

Tulieni sasa.
Tofautisha anayejadili na mazingira yakujadiliwa, Huyo aliyeongea ni IGP ambaye anajua sheria vizuri bila shaka sasa unamlinganisha na watu wanaojadili vijiweni wana madhara gani na power gani kwa mahakama?
 
We kima kwel
 
Mlivyomuhukumu Sabaya!?
Mkuki kwa nguruwe,kwa nyumbu...
Sabaya alishasemwa sana tangu akiwa DC wala hajaanza kusemwa akiwa ametumbuliwa.

Sabaya uhalifu alioufanya ulikuwa hadharani kabisa labda kama wewe sio mkazi wa Kilimanjaro na Arusha.
 
heeee inamaana hata alivyosema mkamuulize DJ we bintihujasikia? utakuwa na matatizo wewe
Mkuu kama hujasoma sheria sikulaumu. Kauli za IGP ni kielelezo tosha kwamba anaishurutisha mahakama iende kwenye mwelekeo autakao maana huwezi kusema nendeni mkamuulize mhusika kwa maana ana ushahidi tosha.

Halafu kesi ikiwa mahakamani huwezi kusema kwamba una ushahidi wa kutosha tena unazungumza nje ya mahakama.

This case is void abinito
 
Boss nawe una kazi! KIla siku ni kutetea Mbowe! Au una nini na yeye?
Polisi ni haki yao kutuhumu uharifu. Ndo maana wanakututusa hadi mahakamani. Na ni kazi yao kushawishi mahakama kwamba ushahidi ni huu! sasa wewe unahangaikaaaaa!
 
Boss nawe una kazi! KIla siku ni kutetea Mbowe! Au una nini na yeye?
Polisi ni haki yao kutuhumu uharifu. Ndo maana wanakututusa hadi mahakamani. Na ni kazi yao kushawishi mahakama kwamba ushahidi ni huu! sasa wewe unahangaikaaaaa!
Nyerere angekuwa na mawazo ya kindezi kama yako nchi hii isingepata uhuru milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…