B babu bulicheka JF-Expert Member Joined Mar 26, 2021 Posts 822 Reaction score 1,048 Jan 27, 2022 #141 Igp atalaanika na wafuwasiwake ipo siku Mungu hadhiakiwe Jiwe ni mfano mdogo wao itakuwa hatari zaidi
Igp atalaanika na wafuwasiwake ipo siku Mungu hadhiakiwe Jiwe ni mfano mdogo wao itakuwa hatari zaidi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 27, 2022 #142 Time Will tell...
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Jan 27, 2022 #143 Iboya2021 said: HIVI NYIE WATU mnaelewa mashtaka aliyoshtakiwa nayo mbowe? siyo ya katiba ni ya ugaidi aliokuwa anafanya sasa nyie mnalazimisha ni ya katiba Click to expand... Hayo ndio ACT wanataka aombe msamaha kwayo?
Iboya2021 said: HIVI NYIE WATU mnaelewa mashtaka aliyoshtakiwa nayo mbowe? siyo ya katiba ni ya ugaidi aliokuwa anafanya sasa nyie mnalazimisha ni ya katiba Click to expand... Hayo ndio ACT wanataka aombe msamaha kwayo?
mozilla JF-Expert Member Joined Mar 28, 2013 Posts 770 Reaction score 1,222 Jan 27, 2022 #144 Daah ulikua mbele ya muda, uliyonena ndio yanayotokea, hizi serikali zetu za kiafrika kazi kwel kwel