Kitendo cha Jaji Mugasha kukosoa mamlaka hadharani ni utovu wa nidhamu, sio ushujaa

Msikilizeni Rais Joe Biden wa US ananyukana na Supreme Court ya US kuhusu affirmative action.

Labda mtajifunza kitu kuhusu checks and balance.
Demokrasia ya Marekani haiwezi kutumika hapa nchini kwetu Tz, mazingira yao na yetu hayafanani, hivyo haiwezekani.
sisi tuna demokrasia yetu na wao wana demokrasia yao kulingana na mazingira yao.
 
Kaa kimya kama hakuna haja ya sisi wananchi kujua unatutaka maoni ya nini.
 
Kwa andiko lako na wewe hukupaswa kuja kuyasema haya humu. ungemtafuta ukamwambia yeye mwenyewe. huoni kama mko kwenye boti moja kwa mtazamo wako?
 
huyu mama amenifurahisha sana, na ninampenda sana. kwa waliowahi kusoma hukumu zake, wanajua wakitaka kubishana wanabishana na kichwa chenye akili. hukumu zake ni bora kuliko za wengi hata walio wanaume. hata juma mwenyewe hana uwezo kuandika judgment kama za mugasha. kwahiyo tulieni dawa iwaingie.
 
Demokrasia ya Marekani haiwezi kutumika hapa nchini kwetu Tz, mazingira yao na yetu hayafanani, hivyo haiwezekani.
sisi tuna demokrasia yetu na wao wana demokrasia yao kulingana na mazingira yao.
Checks and balance kati ya mihimili si demokrasia ya Marekani tu, ipo hata kwenye mfumo wa jamhuri tuliouchagua wenyewe.
 
Yaani jaji anayejua sheria aogope kushauri mambo kwa mwavuli wa utovu wa nidhamu? masisiemu mnashida sana nyie , kwahiyo mnataka uchawa tuuuu watu wenye uelewa na akili wala hamna haja nao. SHAME
 
Mie kiongozi wangu ni Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

wewe kama unaitumikia mahakama nenda kamshauri kuwa kitendo alicho kifanya ni utovu wa nidhamu na anapaswa awajibike.
Kumbe umeleta mada Kama chawa na si Kama mtanzania!
Tanzania Kuna viongozi wengi wanaopaswa kuheshimiwa,
Majaji wetu ni Kati ya viongozi hao!
 
Kumbe umeleta mada Kama chawa na si Kama mtanzania!
Tanzania Kuna viongozi wengi wanaopaswa kuheshimiwa,
Majaji wetu ni Kati ya viongozi hao!


Viongozi wote wanapaswa kuheshimiwa, ila
Rais wa Nchi ndiye anapaswa kuheshimwa kwanza kabla ya kiongozi mwengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…